WEMA AMLIPUA KAJALA, KISA UNAFIKI!
![](http://api.ning.com:80/files/R*tm0ukPJZczXUIuTNiyZ*nqXiodVOXSzSsp*YLyDFZXmnq0GASQgel0tdR2u23RJBiIkqj2OZtE4iJRDQ-spuN64wn8-AMd/kajala.jpg)
Shakoor jongo na MUSA MATEJA BEAUTIFUL Onyinye, Wema Isaac Sepetu (25), amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki. Habari hiyo ya kuitwa mnafiki iliandikwa kwenye gazeti hili toleo lililopita iliyokuwa na kichwa kisemacho; ‘Kajala: Wema mnafiki’. Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu (25) Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Cmufrv6JsXU/default.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1lp73GxRT8YeQ90YImgDXFYLkcBlqo5Nxrldeqg24ML9iBaN*D6iXoo8Wl-IZBelIR6*lG3zAvX-bVT2uem6Zc3tQEP*l*4C/Wema.gif?width=650)
WEMA AKATAA UNAFIKI, AMPONGEZA CHIBU
10 years ago
Bongo Movies03 Apr
Wema Akataa Unafiki, Ampongeza Diamond
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu amefunguka kwa mara ya kwanza na kusema kuwa hata yeye anampa pongezi mpenzi wake wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa jitihada alizozifanya mpaka kufikia hatua ya kumaliza nyumba yake iliyopo Madale jijini Dar.
Akizungumza na gazeti la Ijumaa, Wema alisema kuwa hata kama hawako pamoja lakini kama kuna kitu cha kumsifia kwa jambo zuri alilofanya hana sababu ya kukaa kimya na akinyamaza atakuwa mnafiki.
“Nikikaa kimya bila ya kumpongeza Chibu...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3r*H3JtUV-ck8JCuHGQcypv0bTI-QzSCMGg4w7ANbiEuvIE0NuhUSL1fnlww725RoH4ayFeqFOWDW-3hX5U*K70Xavw1ju5U/Diamondz.jpg?width=650)
DIAMOND AMLIPUA WEMA
10 years ago
Bongo Movies27 May
'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema
Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao
ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.
Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7466U3ZMMqWNLH0KyXT9nISF9nB4rGYs1VyRLoPFB5uBe91udLEWSb-dPLNOcLgjLcgEX3rw3sLXOkehSUW2*nny1mrdRAi4/Kajala1.gif?width=650)
MASTAA WAMLIZA KAJALA USIKU, KISA..!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6bcylMDFg89pasUGViI8BWNoc1mOjX70SK05bBYRkIFKMGIieCSPXeQigBtEx0XxcnRaji*e2M5wHsE94gPc7mS/zamaradi.jpg?width=650)
KISA MTOTO WA KAJALA, ZAMARADI YAMKUTA