DIAMOND AMLIPUA WEMA
![](http://api.ning.com:80/files/3r*H3JtUV-ck8JCuHGQcypv0bTI-QzSCMGg4w7ANbiEuvIE0NuhUSL1fnlww725RoH4ayFeqFOWDW-3hX5U*K70Xavw1ju5U/Diamondz.jpg?width=650)
Musa mateja BAADA ya muigizaji nyota Wema Sepetu ‘kumtusi’ mpenziwe wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, kwa kudhihaki zawadi ya bei chee ya gari aliyowahi kumnunulia, rais huyo wa lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), juzikati aliibuka na kumjibu kuwa amefanya mambo ya ‘Kiswahili’. Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz. Akizungumza ofisini kwake Sinza Mori jijini Dar es Salaam, Diamond alisema katika maisha kila...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R*tm0ukPJZczXUIuTNiyZ*nqXiodVOXSzSsp*YLyDFZXmnq0GASQgel0tdR2u23RJBiIkqj2OZtE4iJRDQ-spuN64wn8-AMd/kajala.jpg)
WEMA AMLIPUA KAJALA, KISA UNAFIKI!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KOwdycLvXQXTiQrZWBOB1Mo*rcMSrECBgTRrg9HMbhcHXZv3yWI-7Ev92cy8chnjhvfz2Ye*eTdlP6nuLSPs2LkYI20kwT*/88.jpg?width=650)
JOKATE AMLIPUA DIAMOND!
10 years ago
Bongo Movies14 Aug
"Kimenuka kwa Diamond" Mashabiki wa Wema wamtaka aache 'kumtumia' Wema kibiashara.
Kundi la watu wanaojiita mashabiki wa Wema Sepetu, limeanzisha kampeni kwenye mtandao mmoja wa maarufu wa kijamii kampeni iliyopewa jina la #BringBackOurWema likimshinikiza mpenzi wake Diamond Platnumz amrudishe kwenye maisha yake ya zamani na kukuza career yake ya filamu.
Mashabiki hao wanaamini kuwa Diamond anampoteza Wema na amekuwa akitumia umaarufu wake (Wema) kujidhatiti zaidi yeye huku Miss Tanzania huyo wa zamani akiendelea kudidimia.
Hivi ndivyo maelezo...
10 years ago
Bongo Movies21 Jun
Mzee Majuto Amuunga Mkono Wema Sepetu, Diamond Amtaka Wema Abadilike Kama Kweli Anautaka Ubunge
Mzee Majuto kwa mara ya kwanza ameamua kufunguka kumuunga mkono Wema Sepetu kwa nia yake ya kutaka kuwa mbunge.Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Mzee Majuto ameandika;
Nisingependa kuyaongea haya kwenye mfungu mtukufu ila kiundani ningependa kuonyesha umoja na kumuunga mkono wazo na lengo la Mwanangu kwa kuwa anaweza na amethubutu sasa isitokee wale wasiopenda maendeleo ya watu na taifa hili kuvuruga misingi na mipango madhubuti ya kuwapa nafasi vijana na hasa wanawake kushika hatamu na...
10 years ago
Vijimambo10 Jun
SUPER STAR DIAMOND AFUNGUKA LIVE: BORA NIFE KULIKO KUMRUDIA WEMA, WEMA NAYE AJIBU MASHAMBULIZI ILE MBAYA
![](http://api.ning.com/files/sT-mI3qB-hd0YVE-1L3jrO35VuXlfCHa8GPFsghter64FISojx1YI8f9jEWQzHOXg3KQF*1lvwUKrNWc8ymR7uFBTIA7tm3r/diamond211.jpg?width=650)
KIAPO! Kuonesha kwamba hana mpango wa kurudi nyuma, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ amefungukia msimamo wake juu ya mwandani wake wa zamani, Wema Sepetu ‘Madam’ kwa kusema kuwa kamwe hawezi kumrudia tena, Risasi Jumamosi lina mkanda kamili.
![](http://api.ning.com/files/sT-mI3qB-hd0YVE-1L3jrO35VuXlfCHa8GPFsghter64FISojx1YI8f9jEWQzHOXg3KQF*1lvwUKrNWc8ymR7uFBTIA7tm3r/diamond211.jpg?width=650)
10 years ago
Dewji Blog22 Dec
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-9GRF6qSFToU/VB6-Q0Rz4QI/AAAAAAAAcA0/jRXKaIf9wm8/s72-c/meninah.jpg)
Wema Sepetu Atoswa ! Vikao Vya Harusi Ya Diamond Na Meninah Vyaanza Nyumbani Kwa Mama Diamond.
![](http://3.bp.blogspot.com/-9GRF6qSFToU/VB6-Q0Rz4QI/AAAAAAAAcA0/jRXKaIf9wm8/s640/meninah.jpg)