WEMA AKATAA UNAFIKI, AMPONGEZA CHIBU

Imelda Mtema Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu amefunguka kwa mara ya kwanza na kusema kuwa hata yeye anampa pongezi mpenzi wake wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa jitihada alizozifanya mpaka kufikia hatua ya kumaliza nyumba yake iliyopo Madale jijini Dar. Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu. Akizungumza na gazeti hili juzi, Wema alisema kuwa hata kama hawako pamoja lakini kama kuna kitu cha kumsifia...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies03 Apr
Wema Akataa Unafiki, Ampongeza Diamond
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu amefunguka kwa mara ya kwanza na kusema kuwa hata yeye anampa pongezi mpenzi wake wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa jitihada alizozifanya mpaka kufikia hatua ya kumaliza nyumba yake iliyopo Madale jijini Dar.
Akizungumza na gazeti la Ijumaa, Wema alisema kuwa hata kama hawako pamoja lakini kama kuna kitu cha kumsifia kwa jambo zuri alilofanya hana sababu ya kukaa kimya na akinyamaza atakuwa mnafiki.
“Nikikaa kimya bila ya kumpongeza Chibu...
10 years ago
Bongo Movies13 Apr
Irene Uwoya Aumizwa na Maneno ya Wema, Ampongeza Wema kwa Moyo Wakishujaa
“Minashindwa kuwaelewa watu ni kwanini mnapenda sana kutaka kutoa kibanz kwenye jicho la mtu wakat kipande chamti kiko kwenye jicho lako.....nimeumia sana na maneno ya wema,mtoto anapanga MUNGU sio binadamu .....Embu mwachen mtoto wa watu sasa awenaaamani kila siku mnamsema yeye mmnazan anachuma nin Ana moyo,afu kunawatu wanapenda sana kudandia mambo ........mmedandia weweee mme mtukana mtoto wawatu minaomba niwape namba ya MUNGU mumulize yeye kwanin na mumuache mtoto wa watu!sipendag...
11 years ago
GPL
WEMA AMLIPUA KAJALA, KISA UNAFIKI!
10 years ago
Vijimambo30 Nov
WEMA AMPONGEZA DIAMOND AMUITA KAKA

Miongoni mwa watu waliompongeza kwa ushindi huo ni Wema Sepetu ambaye tumezoea akimuita staa huyo ‘my baby’, awamu hii ameitwa ‘kaka’. “Gnyt Instagramers… And Hongera tele ziende kwa kaka platnumz… I must say he did Tanzania proud,” aliandika Wema kwenye Instagram muda mfupi baada ya tuzo hizo kuisha ikimaanisha kuwa alikuwa...
10 years ago
Bongo Movies22 Dec
Wema Ampongeza Jokate Lakini Asisitiza Kuendelea Kumnunia
Mastaa mbalimbali wamajitokeza na kumponzea mwanadada Jokate Mwegelo kwakuweza kupambana na kufanikiwa kuingia mkataba na kampuni kutoka China , kwaajili ya kutengeneza vitu mbalimbali kama nywele, viatu, na nk ,kupitia kampuni yake ya KIDOTI.
Mwigizaji Wema Sepetu nae haukuwa nyuma kwani jana kupitia mtandaoni alimpongeza mwanadada Jokate kwa hatua aliyofikia na akasema hii ni kama changamoto kwa kila kijana na kumtakia mafanikia zaidi kwa mwaka ujao.Mwishoni akamalizia na kautani kidogo...
10 years ago
CloudsFM01 Dec
WEMA AMUITA DIAMOND ‘KAKA’, AMPONGEZA KUNYAKUA TUZO TATU
STAA wa Bongo,Wema Sepetu amempongeza aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platinumz baada ya kunyakua tuzo tatu za Channel O Music Awards Jumamosi iliyopita zilizofanyika jijini Johhanesburg,Afrika Kusini.
10 years ago
Bongo530 Nov
Wema ampongeza Diamond, amuita ‘kaka’, Zari achukua nafasi yake rasmi, amsindikiza kwenye #CHOAMVA14
10 years ago
Bongo Movies04 Jul
Snura:Sitaki Unafiki
MWIGIZAJI wa filamu na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi ‘Mama wa Majanga’ amesema kuwa anakerwa sana na unafiki unaofanywa na baadhi ya wasanii kwa kushirikiana na wapenzi wa kazi zao kwa kufanya kampeni za kuangushana katika medani za kimataifa.
“Naepukana na unafiki tena naweza kusema roho mbaya chuki kwa baadhi ya wasanii kuunda makundi ambayo yantumia muda mwingi kuwadisi wengine, mfano hivi sasa wakati Diamond anagombea Tuzo kimataifa eti kuna watu wanaungana na watu...
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
Uongo, unafiki na uzandiki wa CCM
INASIKITISHA kuona kwamba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamekuwa mstari wa mbele kuwadanganya wananchi kwamba uendeshaji wa serikali tatu ni ghali kuliko serikali mbili,...