Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mrema: Kura ya siri ni unafiki

>Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema amesema watu wanaotaka kura ya siri bungeni ni wanafiki huku Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wassira akiahidi kuonyesha wazi msimamo wake na kwamba ukiathiri ustawi wa taifa anataka aadhibiwe angali hai au mfu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Kura ni siri ya mtu

NICHUKUE nafasi hii kuwatakia wasomaji wangu uchaguzi mzuri, huru na wa amani.

Privatus Karugendo

 

11 years ago

Habarileo

Kura za siri,wazi kiporo

BADO MUAFAKA! Ndivyo ilivyojidhihirisha jana kwenye Bunge Maalum la Katiba, ambalo limeshindwa kufikia makubaliano ya kura gani, itumike wakati wa kupitisha uamuzi wa ibara za rasimu ya Katiba mpya. Kura inayobishaniwa na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ni kama iwe ya siri au wazi, jambo lililogawa Bunge hilo katika makundi mawili, yanayotofautiana kuhusu namna gani uamuzi ufanyike ndani ya Bunge hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kura ya wazi, siri ruksa

UONGOZI wa Bunge Maalumu la Katiba umekubali kuondoa mapendekezo mapya ya marekebisho katika baadhi ya kanuni na badala yake umependekeza kutumika kwa kura za aina zote mbili za wazi au...

 

11 years ago

Mwananchi

Samuel Sitta: Kura ya siri

Mwenyekiti Mteule wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta amezungumzia uwezekano wa kutumia kura ya siri katika kuamua ibara nyeti katika Rasimu ya Katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Mjadala kura ya siri moto

Suala la kura za siri au za wazi limeendelea kuwagawa wabunge ambao jana walivutana kufikia uamuzi wa aina ya kura zinazofaa kupigwa kupitisha Rasimu ya Katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Kura ya siri Katiba Mpya

Rasimu za kanuni za uendeshaji Bunge Maalumu la Katiba zimependekeza kutumika kwa utaratibu wa kupiga kura ya siri wakati wa kupata uamuzi wa kupitisha Rasimu ya Katiba.

 

11 years ago

Habarileo

Kura ya siri, wazi kiporo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (kushoto) kabla ya kuanza kwa semina ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).BADO MUAFAKA! Ndivyo ilivyojidhihirisha jana kwenye Bunge Maalum la Katiba, ambalo limeshindwa kufikia makubaliano ya kura gani, itumike wakati wa kupitisha uamuzi wa ibara za rasimu ya Katiba mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanasheria wasisitiza kura ya siri

Wanasheria mbalimbali nchini wamesisitiza kutumika kwa kura ya siri kama ilivyopendekezwa kwenye kanuni za Bunge la Katiba ili kuwapatia uhuru zaidi wajumbe hao na kuepuka misimamo inayowabana kutoka ndani ya makundi yao.

 

11 years ago

Habarileo

Kura ya siri, wazi kutumika pamoja

HATIMAYE Bunge Maalumu la Katiba limemaliza mvutano wa Kanuni, hasa kuhusu kura ya wazi au ya siri katika kufanya uamuzi wa kupitisha ibara na sura za rasimu ya Katiba, kwa kuamua kura zote zitumike kwa kadri mjumbe mmoja mmoja atakavyoona inafaa. Uamuzi huo uliamuliwa kwa kupiga kura ya wazi na siri na matokeo yalikuwa:

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani