Kura ya siri Katiba Mpya
Rasimu za kanuni za uendeshaji Bunge Maalumu la Katiba zimependekeza kutumika kwa utaratibu wa kupiga kura ya siri wakati wa kupata uamuzi wa kupitisha Rasimu ya Katiba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 Mar
Kura ya siri, wazi kaa la moto Bunge la Katiba
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Kura ya siri yazua mjadala mkali #Bunge la #Katiba [VIDEO]
10 years ago
Mtanzania05 Sep
Kikwete adokeza siri Katiba Mpya
Rais Jakaya Kikwete
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM, DODOMA
HATIMAYE siri nzito kwenye mazungumzo kati ya Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa vyama vya siasa walio chini ya Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), imeanza kujulikana baada ya Rais Jakaya Kikwete jana kutoa taarifa rasmi ya awali kuwa mazungumzo kati yao yanakwenda vizuri na mwafaka wa mchakato wa Bunge la Katiba utapatikana kuanzia Jumatatu ijayo.
Kwa maneno yake, Rais Kikwete wakati akihutubia taifa kupitia kwa wazee wa Dodoma...
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Kura ya siri ama la? ‘Amueni wenyewe,’ Mahalu awaambia wajumbe #Bunge la #Katiba [VIDEO]
10 years ago
Vijimambo11 Mar
Giza totoro kura ya maoni katiba mpya.
Baadhi ya wanazuoni, viongozi wa dini, wanasiasa na wanaharakati wamesema hakuna muujiza wowote unaoweza kufanyika hivi sasa kufanikisha kura ya maoni Aprili 30, mwaka huu.
Wamesema kulazimisha kura ya maoni kama ilivyotangazwa ni sawa na ‘kuchochea fujo’, jambo linaloweza kuepukika.
Wakizungumza na NIPASHE kwa nyakati tofauti jana, walisema nchi imegawanyika vipande vipande, huku wengine wakipinga mchakato wote, hivyo kulazimisha kura ni kuendelea kuligawa...
10 years ago
Habarileo23 Sep
Kura Katiba mpya kwa faksi, intaneti
BUNGE Maalumu la Katiba, limepitisha marekebisho ya Kanuni zake, ili kutoa fursa kwa wajumbe wa Bunge hilo kupiga kura ya kukubali au kukataa Katiba inayopendekezwa, mahali popote walipo hata nje ya nchi katika muda mfupi kwa kutumia nukushi (faksi) au intaneti.
10 years ago
Mtanzania26 Jan
Butiku ahamasisha kura ya hapana Katiba Mpya
Na Shomari Binda, Musoma
WAJUMBE wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, wamewataka Watanzania kuikataa Katiba inayopendekezwa kwa kuwa haikuzingatia masilahi ya Watanzania.
Waliyasema hayo juzi katika ukumbi wa MCC, mjini Musoma kwenye mdahalo wa kujadili na kuelimisha wananchi kuhusiana na mchakato wa kupata Katiba Mpya na kuwataka kupiga kura ya hapana.
Akizungumza katika mdahalo huo, aliyekuwa Mjumbe wa Tume hiyo, Joseph Butiku, alisema mchakato wa kukusanya maoni ya Katiba,...
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Dawa ya Katiba Mpya kura ya maoni-Membe
10 years ago
Habarileo18 Mar
Pigieni kura ya ndiyo Katiba mpya — Salma
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi Mjini, Mama Salma Kikwete amewaomba wananchi kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa, kwa kuwa ni bora na imezingatia mahitaji ya makundi yote ya jamii.