Kura Katiba mpya kwa faksi, intaneti
BUNGE Maalumu la Katiba, limepitisha marekebisho ya Kanuni zake, ili kutoa fursa kwa wajumbe wa Bunge hilo kupiga kura ya kukubali au kukataa Katiba inayopendekezwa, mahali popote walipo hata nje ya nchi katika muda mfupi kwa kutumia nukushi (faksi) au intaneti.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo24 Sep
Chadema wapinga kura kwa intaneti
UAMUZI wa Bunge Maalumu la Katiba wa kupitisha marekebisho ya Kanuni zake, ili kutoa fursa kwa wajumbe wa Bunge hilo kupiga kura ya kukubali au kukataa Katiba inayopendekezwa wakiwa mahali popote hata nje ya nchi kwa kutumia nukushi (faksi) au intaneti, umegeuka kuwa shubiri kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
10 years ago
Mwananchi01 Mar
MCHAKATO KATIBA MPYA: Kwa nini muda wa BVR hautoshi kwa Kura ya Maoni
10 years ago
MichuziBUNGE KUPIGIA KURA KATIBA MPYA NI ISHARA YA KUIMARIKA KWA UTAWALA BORA - MUKASA
Na. Ally Kondo, New YorkSerikali imesema kuwa mchakato wa kuandaa Katiba mpya ambayo imepitishwa na Bunge Maalum la Katiba hivi karibuni ni ishara ya wazi kuwa, Serikali imedhamiria kuongoza nchi kwa mujibu ya matakwa ya wananchi wake na kuzingatia Utawala wa Sheria. Kauli hiyo ilitolewa na Afisa wa Wizara ya Mambo...
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Kura ya siri Katiba Mpya
10 years ago
Mwananchi10 Nov
‘Kura ya maoni mwanzo wa kudai Katiba Mpya’
10 years ago
Habarileo18 Mar
Pigieni kura ya ndiyo Katiba mpya — Salma
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi Mjini, Mama Salma Kikwete amewaomba wananchi kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa, kwa kuwa ni bora na imezingatia mahitaji ya makundi yote ya jamii.
10 years ago
Vijimambo11 Mar
Giza totoro kura ya maoni katiba mpya.
Baadhi ya wanazuoni, viongozi wa dini, wanasiasa na wanaharakati wamesema hakuna muujiza wowote unaoweza kufanyika hivi sasa kufanikisha kura ya maoni Aprili 30, mwaka huu.
Wamesema kulazimisha kura ya maoni kama ilivyotangazwa ni sawa na ‘kuchochea fujo’, jambo linaloweza kuepukika.
Wakizungumza na NIPASHE kwa nyakati tofauti jana, walisema nchi imegawanyika vipande vipande, huku wengine wakipinga mchakato wote, hivyo kulazimisha kura ni kuendelea kuligawa...
10 years ago
Mtanzania26 Jan
Butiku ahamasisha kura ya hapana Katiba Mpya
Na Shomari Binda, Musoma
WAJUMBE wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, wamewataka Watanzania kuikataa Katiba inayopendekezwa kwa kuwa haikuzingatia masilahi ya Watanzania.
Waliyasema hayo juzi katika ukumbi wa MCC, mjini Musoma kwenye mdahalo wa kujadili na kuelimisha wananchi kuhusiana na mchakato wa kupata Katiba Mpya na kuwataka kupiga kura ya hapana.
Akizungumza katika mdahalo huo, aliyekuwa Mjumbe wa Tume hiyo, Joseph Butiku, alisema mchakato wa kukusanya maoni ya Katiba,...
10 years ago
Habarileo20 Oct
Chikawe asisitiza kura ya ndiyo Katiba mpya
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe amewataka wananchi wilayani Nachingwea kuipigia kura ya ndiyo Rasimu ya Katiba iliyopendekezwa na Bunge la Katiba.