Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chikawe asisitiza kura ya ndiyo Katiba mpya

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe amewataka wananchi wilayani Nachingwea kuipigia kura ya ndiyo Rasimu ya Katiba iliyopendekezwa na Bunge la Katiba.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Pigieni kura ya ndiyo Katiba mpya — Salma

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi Mjini, Mama Salma Kikwete amewaomba wananchi kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa, kwa kuwa ni bora na imezingatia mahitaji ya makundi yote ya jamii.

 

10 years ago

Habarileo

‘Wanawake pigieni kura ya ndiyo Katiba’

Mwenyekiti wa UWT, Sophia Simba.MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake nchini (UWT), Sofia Simba amewataka wanawake nchini, kujitokeza kwa wingi kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa wakati ukifika, kwani ni mkombozi kwa mwanamke katika harakati zake za kijamii na kisiasa.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE AWASHAWISHI WANANCHI NACHINGWEA KUIPIGIA KURA YA NDIO KATIBA ILIYOPENDEKEZWA NA BUNGE

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (Kushoto), akimsalimia Katibu wa CCM tawi la Kijiji cha Mkurupita, Kata ya Ndomoni, Nora Lwambano wakati alipokuwa akiwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa kata hiyo kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Kata hiyo, Wajumbe wa Mabaraza ya Jumuiya zote za CCM Kata, Viongozi wa Dini na Wajumbe wa Baraza la Wazee katika Kata hiyo. Waziri Chikawe alitoa msaada wa madaftari na...

 

10 years ago

Mwananchi

Katiba: Mawaziri Zanzibar wapigia kampeni kura ya ndiyo

Mawaziri katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Muungano wameanza kampeni kuwataka wananchi kuunga mkono Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa wakisema imezingatia masilahi ya Zanzibar kiuchumi na kiutawala.

 

10 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE AWATAKA WAKAZI WA MKOA WA LINDI KUIPIGIA KURA YA NDIYO KATIBA PENDEKEZWA

Na Anna Nkinda – aliyekuwa Lindi.
Wananchi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuipigia kura ya ndiyo katiba inayopendekezwa kwani ni bora na imegusa maeneo yote kwa ajili ya maendeleo ya Watanzania.
Rai hiyo imetolewa na  Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wananchi waliohudhuria sherehe ya kushangilia ushindi wa uchaguzi wa Serikali za mitaa katika mtaa wa Ruaha kata ya Mingoyo...

 

10 years ago

GPL

WALIOTUNGA SHERIA NDIYO WALAUMIWE KWA KUTOPATIKANA KATIBA MPYA

Aliyekuwa   mwenyekiti wa Tume ya Katiba, Jaji Joseph Warioba Nianze kwa kumtukuza Mungu muumba wa vitu vyote, vinavyoonekana na visivyoonekana. Hakika yeye ni mwema, ahimidiwe daima. Baada ya kusema hayo niseme wazi kwamba Watanzania sasa mioyo yao imesinyaa kwa kupoteza matumaini ya kupatikana kwa katiba mpya inayotokana na maoni ya wananchi.
Naamini kwamba kwa baadhi ya wanasiasa, hiyo ni habari njema ya ushindi...

 

11 years ago

Mwananchi

Paschal Chibala: Uswahiba ndiyo ulioharibu mchakato wa Katiba Mpya Tanzania

>Ni mwanasiasa kijana ambaye ndoto yake ni kufikia mafanikio makubwa. Hata hivyo, anaamini safari bado ni ndefu, yenye milima na mabonde.

 

11 years ago

Mwananchi

Kura ya siri Katiba Mpya

Rasimu za kanuni za uendeshaji Bunge Maalumu la Katiba zimependekeza kutumika kwa utaratibu wa kupiga kura ya siri wakati wa kupata uamuzi wa kupitisha Rasimu ya Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani