Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WALIOTUNGA SHERIA NDIYO WALAUMIWE KWA KUTOPATIKANA KATIBA MPYA

Aliyekuwa   mwenyekiti wa Tume ya Katiba, Jaji Joseph Warioba Nianze kwa kumtukuza Mungu muumba wa vitu vyote, vinavyoonekana na visivyoonekana. Hakika yeye ni mwema, ahimidiwe daima. Baada ya kusema hayo niseme wazi kwamba Watanzania sasa mioyo yao imesinyaa kwa kupoteza matumaini ya kupatikana kwa katiba mpya inayotokana na maoni ya wananchi.
Naamini kwamba kwa baadhi ya wanasiasa, hiyo ni habari njema ya ushindi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Pigieni kura ya ndiyo Katiba mpya — Salma

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi Mjini, Mama Salma Kikwete amewaomba wananchi kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa, kwa kuwa ni bora na imezingatia mahitaji ya makundi yote ya jamii.

 

10 years ago

Habarileo

Chikawe asisitiza kura ya ndiyo Katiba mpya

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe amewataka wananchi wilayani Nachingwea kuipigia kura ya ndiyo Rasimu ya Katiba iliyopendekezwa na Bunge la Katiba.

 

10 years ago

Habarileo

Sheria mpya Takukuru yasubiri Katiba mpya

 George MkuchikaUAMUZI wa kutunga sheria kwa ajili ya kuimarisha Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) kwa ajili ya kuipa meno, unasubiri katiba mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

Paschal Chibala: Uswahiba ndiyo ulioharibu mchakato wa Katiba Mpya Tanzania

>Ni mwanasiasa kijana ambaye ndoto yake ni kufikia mafanikio makubwa. Hata hivyo, anaamini safari bado ni ndefu, yenye milima na mabonde.

 

11 years ago

GPL

HAYA NDIYO MAGARI VINARA KWA KUVUNJA SHERIA!

Stori: Mwandishi Wetu
HUKU ajali za barabarani zikizidi kuongezeka kila siku hasa jijini Dar es Salaam, timu ya uchunguzi ya Operesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, hivi karibuni lilifanikiwa kuyanasa baadhi ya magari kadhaa yanayokiuka sheria za usalama barabarani. Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mohamed Mpinga Magari hayo, ambayo yalikuwa kinara wakati wa uchunguzi huo, yakiwemo yenye namba za usajili...

 

10 years ago

Vijimambo

Katiba mpya itatowesha madhila ya sheria kandamizi ya ndoa ya mwaka 1971: Dk Chana

Wakati wa mahojiano Dk. Pindi Chana na Joseph Msami.(Picha ya UM/Idhaa ya kiswaili)
Juhudi za kutokomezwa kwa ndoa na mimba za utotoni huenda ziakatimia nchini Tanzania baada ya kuingizwa kwa kipengele cha kumtambua mtoto kuwa ni mtu yeyote aliyeko chini ya umri wa miaka 18 katika rasimu ya katiba. Amesema naibu waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia na watoto Dk Pindi Chana.

Katika mahojiano maaluma na Joseph Msami wa idhaa hii muda mfupi baada ya kuhutubia baraza kuu la Umoja wa Mataifa, Dk...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani