Katiba mpya itatowesha madhila ya sheria kandamizi ya ndoa ya mwaka 1971: Dk Chana
![](http://2.bp.blogspot.com/-G-Vb6_fGPjk/VEdDi-GDOqI/AAAAAAADKV4/lioB36iJPzQ/s72-c/unnamed%2B(27).jpg)
Wakati wa mahojiano Dk. Pindi Chana na Joseph Msami.(Picha ya UM/Idhaa ya kiswaili)
Juhudi za kutokomezwa kwa ndoa na mimba za utotoni huenda ziakatimia nchini Tanzania baada ya kuingizwa kwa kipengele cha kumtambua mtoto kuwa ni mtu yeyote aliyeko chini ya umri wa miaka 18 katika rasimu ya katiba. Amesema naibu waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia na watoto Dk Pindi Chana.
Katika mahojiano maaluma na Joseph Msami wa idhaa hii muda mfupi baada ya kuhutubia baraza kuu la Umoja wa Mataifa, Dk...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog20 Jun
Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, chanzo cha ongezeko la mimba na ndoa za utotoni nchini
Mratibu wa Utetezi Taifa, SOS Tanzania/Zanzibar, John Batista, akizungumza katika Mdahalo wa Nijali uliolenga ndoa za utotoni na mimba za utotoni kwa kushirikisha Chama cha Waandishi wa Habari za Watoto, (TAJOC) na wengine, uliofanyika leo katika Hoteli Regency jijini Dar es Salaam.
Na Andrew Chale, Modewjiblog.com
Imeelezwa kuwa, kuongezeka kwa ndoa za utotoni inatokana na sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kuendelea kutumika wakati hali yake ni mbaya kwa watoto wakike kushindwa kufikia ndoto...
10 years ago
Dewji Blog26 Aug
Serikali yakiri sheria ya ndoa ya 1971 haifai
Mgeni Rasmi katika utambulisho wa kampeni ya kitaifa kupinga ndoa za utotoni (National Ending Child Marriage Campaign), Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Anna Maembe, akizungumza na waandishi wa habari umuhimu wa kufanyia marekebisho sheria ya ndoa ya mwaka 1971.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).
.Wadau watambulisha kampeni ya kupambana tatizo la ndoa za utotoni
Na Mwandishi Wetu, MOblog Tanzania
SERIKALI ya Tanzania imekiri kwamba Sheria ya Ndoa ya 1971 ni...
10 years ago
Habarileo06 Jun
‘Sheria ya 1971 inachangia ndoa, mimba za utotoni’
SERIKALI imeombwa kuangalia upya Sheria ya mtoto ya mwaka 1971 kwani imebainika kuwa ndio chanzo kimojawapo kinachoruhusu na kuchangia ndoa za utotoni pamoja na mimba za utotoni.
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Katiba iondoe sheria kandamizi
9 years ago
Mtanzania21 Sep
Tutaondoa sheria kandamizi
Na Upendo Mosha, Moshi
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amesema iwapo chama chake kitapata ridhaa ya kushika dola, watahakikisha wanafuta sheria zote ambazo ni kandamizi kwa wananchi ili kuleta mabadiliko ya kweli.
Kinana alitoa agizo hilo wakati akizungumza na baadhi ya wanachama na viongozi katika Jimbo la Vunjo wilayani Moshi jana.
Alisema kumekuwa na sheria nyingi ambazo ni kandamizi kwa wananchi jambo ambalo si zuri.
Alisema sheria kandamizi kwa wananchi...
9 years ago
Habarileo29 Sep
Serikali kufuta sheria kandamizi
TANZANIA imeahidi kuchukua hatua tano muhimu za kutetea na kuendeleza haki za wanawake kati ya sasa na mwaka 2030, ikiwa ni pamoja na kufanya mabadiliko makubwa ya kufuta sheria zinazokandamiza wanawake.
9 years ago
MichuziKANUNI MPYA ZA HUDUMA ZA ZIADA ZA MWAKA 2015 ZA SHERIA YA MAWASILIANO YA KIELEKTRONIKI NA POSTA YA MWAKA 2010
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KANUNI MPYA ZA HUDUMA ZA...
10 years ago
Habarileo05 Feb
Sheria mpya Takukuru yasubiri Katiba mpya
UAMUZI wa kutunga sheria kwa ajili ya kuimarisha Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) kwa ajili ya kuipa meno, unasubiri katiba mpya.
11 years ago
Mwananchi11 Jul
UCHAMBUZI: Tunaitamani KCMC ya mwaka 1971 iliyojali utu