Katiba iondoe sheria kandamizi
Mtandao wa Wanawake na Katiba unaoundwa na mashirika na asasi mbalimbali zinazoshughulikia masuala ya wanawake nchini, umetaka Katiba mpya kuondoa sheria zote zinazowakandamizi wanawake, kwa kuwa zinarudisha nyuma maendeleo yao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Vijimambo.jpg)
Katiba mpya itatowesha madhila ya sheria kandamizi ya ndoa ya mwaka 1971: Dk Chana
.jpg)
Juhudi za kutokomezwa kwa ndoa na mimba za utotoni huenda ziakatimia nchini Tanzania baada ya kuingizwa kwa kipengele cha kumtambua mtoto kuwa ni mtu yeyote aliyeko chini ya umri wa miaka 18 katika rasimu ya katiba. Amesema naibu waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia na watoto Dk Pindi Chana.
Katika mahojiano maaluma na Joseph Msami wa idhaa hii muda mfupi baada ya kuhutubia baraza kuu la Umoja wa Mataifa, Dk...
10 years ago
Mtanzania21 Sep
Tutaondoa sheria kandamizi
Na Upendo Mosha, Moshi
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amesema iwapo chama chake kitapata ridhaa ya kushika dola, watahakikisha wanafuta sheria zote ambazo ni kandamizi kwa wananchi ili kuleta mabadiliko ya kweli.
Kinana alitoa agizo hilo wakati akizungumza na baadhi ya wanachama na viongozi katika Jimbo la Vunjo wilayani Moshi jana.
Alisema kumekuwa na sheria nyingi ambazo ni kandamizi kwa wananchi jambo ambalo si zuri.
Alisema sheria kandamizi kwa wananchi...
10 years ago
Habarileo29 Sep
Serikali kufuta sheria kandamizi
TANZANIA imeahidi kuchukua hatua tano muhimu za kutetea na kuendeleza haki za wanawake kati ya sasa na mwaka 2030, ikiwa ni pamoja na kufanya mabadiliko makubwa ya kufuta sheria zinazokandamiza wanawake.
10 years ago
GPLKITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHAZUNGUMZIA CHANGAMOTO ZA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA KURA YA MAONI YA KATIBA
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
USU MALLYA: Mpambanaji anayekerwa na mifumo kandamizi
USU Mallya akiwa anazungumzia mada yoyote juu ya jinsia na ukombozi wa mwanamke kimapinduzi, hawezi kuongea maneno matano bila kutaja muktadha na mifumo. Huyu ndie mwanamama ninayemzungumzia leo katika safu...
11 years ago
Habarileo19 Aug
Sheria ya Mabadiliko ya Katiba kujadiliwa
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kinajipanga kutumia wanasheria, kujadili na kufanyia kazi baadhi ya vifungu vyenye utata vilivyopo katika Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.
9 years ago
BBCSwahili05 Dec
Iraq yaitaka Uturuki iondoe majeshi Mosul