USU MALLYA: Mpambanaji anayekerwa na mifumo kandamizi
USU Mallya akiwa anazungumzia mada yoyote juu ya jinsia na ukombozi wa mwanamke kimapinduzi, hawezi kuongea maneno matano bila kutaja muktadha na mifumo. Huyu ndie mwanamama ninayemzungumzia leo katika safu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi09 Aug
GEA HABIB : Mwanzilishi wa ‘Hekaheka’ anayekerwa na ukatili dhidi ya watoto
9 years ago
MichuziTANAPA YAANZA KUBADILI MFUMO WA UTENDAJI KUTOKA KIRAIA KWENDA JESHI USU
Jumla ya wahifadhi 40 walihitimu mafunzo ya Awamu ya kwanza ya kubadili mfumo wa utendaji kazi kutoka ule wa kiraia kwenda wa jeshi usu kwa kwa viongozi maafisa wa ngazi ya kati “Transformation Leadership Course for Middle Cadre Wardens” yaliyofanyika katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi hivi karibuni.
Mfumo...
9 years ago
Mtanzania21 Sep
Tutaondoa sheria kandamizi
Na Upendo Mosha, Moshi
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amesema iwapo chama chake kitapata ridhaa ya kushika dola, watahakikisha wanafuta sheria zote ambazo ni kandamizi kwa wananchi ili kuleta mabadiliko ya kweli.
Kinana alitoa agizo hilo wakati akizungumza na baadhi ya wanachama na viongozi katika Jimbo la Vunjo wilayani Moshi jana.
Alisema kumekuwa na sheria nyingi ambazo ni kandamizi kwa wananchi jambo ambalo si zuri.
Alisema sheria kandamizi kwa wananchi...
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Katiba iondoe sheria kandamizi
9 years ago
Habarileo29 Sep
Serikali kufuta sheria kandamizi
TANZANIA imeahidi kuchukua hatua tano muhimu za kutetea na kuendeleza haki za wanawake kati ya sasa na mwaka 2030, ikiwa ni pamoja na kufanya mabadiliko makubwa ya kufuta sheria zinazokandamiza wanawake.
11 years ago
GPLTANZIA: BABA MZAZI WA MDAU BEATRICE SINGANO MALLYA AFARIKI
10 years ago
Mwananchi05 Nov
Seretse Khama, mpambanaji aliyevunja minyororo ya ubaguzi
9 years ago
Mwananchi19 Aug
MCHANGO WA MAWAZO: Lowassa ni mfamaji au mpambanaji asiyechoka?
10 years ago
MichuziMarehemu Mzee SK George Mallya kuzikwa Maili-Sita Moshi Alhamisi Agosti 13, 2015