MCHANGO WA MAWAZO: Lowassa ni mfamaji au mpambanaji asiyechoka?
Nimejitahidi nilivyoweza kutoandika chochote juu ya Edward Lowassa. Nilikuwa na sababu kadhaa ambazo siyo lazima kuziandika kwenye makala haya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi26 Aug
MCHANGO WA MAWAZO : Lowassa ni yuleyule na mambo ni yaleyale
Katika kushangaza, kuchekesha na kurogwa huku, tunaweza kweli kupiga hatua ya maendeleo? Tunaweza kuishi ulimwengu wa sayansi na teknolojia; ulimwengu ambao maisha si ya kubahatisha na kupiga ramli, bali ya uhakika?
9 years ago
Mwananchi01 Oct
MCHANGO WA MAWAZO : Siyo ubaya wa Lowassa wala uzuri wa Dk Magufuli
Tunapoelekea uchaguzi mkuu wa 2015, kuna watu wanachanganya mambo.Ushabiki unakuwa mkubwa na wakati mwingine watu wanaacha kabisa kufikiri. Ni vyema ufafanuzi ukafanyika, ili twende sawa.
10 years ago
Mwananchi13 May
MCHANGO WA MAWAZO: Tunawashukuru waliotutunzia fedha zetu nje
>Watanzania tunalalamika. Mimi pia nimeambiwa mara nyingi kwamba ninaandika makala za kulalamika.
9 years ago
Mwananchi14 Oct
MCHANGO WA MAWAZO: Tujadili matatizo ya Taifa letu, siyo wagombea
Tunapoelekea Uchaguzi Mkuu ni muhimu kuachana na mijadala kuhusu watu na vyama vyao vya siasa, kasumba ya kuwaabudu watu na kufikiri kwamba kuna mtu mmoja mwenye uwezo wa kuleta mabadiliko katika taifa letu, tuanze kujadili matatizo ya taifa letu. Tukiyajadili na kuyafahamu vizuri, pamoja tunaweza kufikiria ufumbuzi.
9 years ago
Mwananchi16 Sep
MCHANGO WA MAWAZO : Kufikiri amani itanyesha kama mvua ni kuchanganyikiwa
Inashangaza, tunapiga magoti kuomba amani. Watu wanakesha makanisani kuomba amani. Kwenye majukwaa ya siasa tunawasikia wanasiasa wakiimba amani.
9 years ago
Vijimambo12 Oct
MCHANGO WANGU WA MAWAZO KWA WA TANZANIA WAKATI HUU WA UCHAGUZI WA 2015.
![](http://www.kwanzaproduction.com/wp-content/uploads/2014/09/cooltext1706975807.png)
9 years ago
Mwananchi23 Sep
MCHANGO WA MAWAZO : Si Magufuli wala CCM, ni masilahi mapana ya Taifa letu
Mwalimu Julius Nyerere, kabla ya kifo chake, alisema wazi kwamba Watanzania wanataka mabadiliko. Hivyo, kwamba tunataka mabadiliko si jambo la kujadili tena.
9 years ago
Mwananchi02 Sep
MCHANGO WA MAWAZO: Hakuna rafiki wala adui wa kudumu katika siasa
Hivi sasa mawaziri wakuu wa zamani, Edward Lowassa na Frederick Sumaye, wamejikuta pamoja katika kampeni za vyama vya upinzani kupitia Ukawa.
9 years ago
Mwananchi30 Nov
Lowassa atembelea eneo alipouawa Mawazo
Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa ametembelea eneo yalikotokea mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo huku wakazi wa Geita wakijitokeza kwa wingi kuaga mwili wa kiongozi huyo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania