MCHANGO WA MAWAZO: Hakuna rafiki wala adui wa kudumu katika siasa
Hivi sasa mawaziri wakuu wa zamani, Edward Lowassa na Frederick Sumaye, wamejikuta pamoja katika kampeni za vyama vya upinzani kupitia Ukawa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema02 Sep
Hakuna rafiki na adui wa kudumu katika siasa
HADI sasa Edward Lowassa na Frederick Sumaye, wamejikuta pamoja katika umoja wa vyama vinne vya u
Privatus Karugendo
10 years ago
Vijimambo"KATIKA SIASA HAKUNA MALAIKA WALA SHETANI"-Maria Sarungi
Tanzania tunaweza kujenga jamii ya kidemokrasia na itajengwa na SISI wananchi na si wanasiasa. Kwa sababu wanasiasa wako bize kutwaa madaraka – mwanasiasa yoyote yule – tusidanganyike! Hivyo basi sisi wananchi tukiwa kama wanachama wa vyama, kama wapiga kura, tuhakikishe tunakuwa mashabiki wa demokrasia na uwazi kwanza na si mashabiki wa vyama na wanasiasa.
Hivi karibuni kumekuwa na matukio mbalimbali kwa upande wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kinachonisukuma kusema kuwa tunachoona...
Hivi karibuni kumekuwa na matukio mbalimbali kwa upande wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kinachonisukuma kusema kuwa tunachoona...
9 years ago
Mwananchi01 Oct
MCHANGO WA MAWAZO : Siyo ubaya wa Lowassa wala uzuri wa Dk Magufuli
Tunapoelekea uchaguzi mkuu wa 2015, kuna watu wanachanganya mambo.Ushabiki unakuwa mkubwa na wakati mwingine watu wanaacha kabisa kufikiri. Ni vyema ufafanuzi ukafanyika, ili twende sawa.
9 years ago
Mwananchi23 Sep
MCHANGO WA MAWAZO : Si Magufuli wala CCM, ni masilahi mapana ya Taifa letu
Mwalimu Julius Nyerere, kabla ya kifo chake, alisema wazi kwamba Watanzania wanataka mabadiliko. Hivyo, kwamba tunataka mabadiliko si jambo la kujadili tena.
11 years ago
GPLDOVUTWA: HAKUNA URAFIKI KATIKA VYAMA VYA SIASA ASEMA KINACHOWAZUIA NI RUZUKU
Makala: Elvan Stambuli
MWENYEKITI wa United Peoples Democratic Party (UPDP), Fahmi Nassor Dovutwa amesema hakuna urafiki katika vyama vya siasa kwa kuwa kila chama kinataka kwenda ikulu kukalia kiti. Mwenyekiti wa Chama cha UPDP Taifa na Mjumbe wa Mkutano wa Bunge…
9 years ago
Mwananchi19 Aug
MCHANGO WA MAWAZO: Lowassa ni mfamaji au mpambanaji asiyechoka?
Nimejitahidi nilivyoweza kutoandika chochote juu ya Edward Lowassa. Nilikuwa na sababu kadhaa ambazo siyo lazima kuziandika kwenye makala haya.
9 years ago
Mwananchi26 Aug
MCHANGO WA MAWAZO : Lowassa ni yuleyule na mambo ni yaleyale
Katika kushangaza, kuchekesha na kurogwa huku, tunaweza kweli kupiga hatua ya maendeleo? Tunaweza kuishi ulimwengu wa sayansi na teknolojia; ulimwengu ambao maisha si ya kubahatisha na kupiga ramli, bali ya uhakika?
10 years ago
Mwananchi13 May
MCHANGO WA MAWAZO: Tunawashukuru waliotutunzia fedha zetu nje
>Watanzania tunalalamika. Mimi pia nimeambiwa mara nyingi kwamba ninaandika makala za kulalamika.
9 years ago
Mwananchi14 Oct
MCHANGO WA MAWAZO: Tujadili matatizo ya Taifa letu, siyo wagombea
Tunapoelekea Uchaguzi Mkuu ni muhimu kuachana na mijadala kuhusu watu na vyama vyao vya siasa, kasumba ya kuwaabudu watu na kufikiri kwamba kuna mtu mmoja mwenye uwezo wa kuleta mabadiliko katika taifa letu, tuanze kujadili matatizo ya taifa letu. Tukiyajadili na kuyafahamu vizuri, pamoja tunaweza kufikiria ufumbuzi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania