Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


"KATIKA SIASA HAKUNA MALAIKA WALA SHETANI"-Maria Sarungi

Tanzania tunaweza kujenga jamii ya kidemokrasia na itajengwa na SISI wananchi na si wanasiasa. Kwa sababu wanasiasa wako bize kutwaa madaraka – mwanasiasa yoyote yule – tusidanganyike! Hivyo basi sisi wananchi tukiwa kama wanachama wa vyama, kama wapiga kura, tuhakikishe tunakuwa mashabiki wa demokrasia na uwazi kwanza na si mashabiki wa vyama na wanasiasa.

Hivi karibuni kumekuwa na matukio mbalimbali kwa upande wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kinachonisukuma kusema kuwa tunachoona...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MCHANGO WA MAWAZO: Hakuna rafiki wala adui wa kudumu katika siasa

Hivi sasa mawaziri wakuu wa zamani, Edward Lowassa na Frederick Sumaye, wamejikuta pamoja katika kampeni za vyama vya upinzani kupitia Ukawa.

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Mwananchi

Maria Sarungi: Sikutarajia kuzomewa bungeni

Maria Sarungi ni mwanaharakati na mmoja wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye amejizolea umaarufu katika kipindi kifupi kutokana na msimamo wake wa kutetea haki za raia.

 

10 years ago

Mwananchi

MARIA SARUNGI : Kinara wa mitandao ya kijamii anayesimama kwenye ukweli

Licha ya kuwa Watanzania wengi wameifahamu mitandao ya kijamii miaka michache iliyopita wapo ambao wamekuwa mstari wa mbele kuisukuma na kuifanya kuwa sehemu ya maisha ya watu wengi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

MARIA SARUNGI TSEHAI: Muungano wa pamoja utaleta elimu bora

MFUMO wa elimu wa Tanzania, unamtarajia mtoto akimaliza darasa la pili awe ana uelewa mkubwa wa kujua kusoma na kuandika. Makala haya yanamuangazia, Mwanadada Maria Sarungi Tsehai, ambaye ni Mkurugenzi...

 

10 years ago

Raia Mwema

Hakuna rafiki na adui wa kudumu katika siasa

HADI sasa Edward Lowassa na Frederick Sumaye, wamejikuta pamoja katika umoja wa vyama vinne vya u

Privatus Karugendo

 

11 years ago

GPL

DOVUTWA: HAKUNA URAFIKI KATIKA VYAMA VYA SIASA ASEMA KINACHOWAZUIA NI RUZUKU

Makala: Elvan Stambuli
MWENYEKITI wa United Peoples Democratic Party (UPDP),  Fahmi Nassor Dovutwa amesema hakuna urafiki katika vyama vya siasa kwa kuwa kila chama kinataka kwenda ikulu kukalia kiti. Mwenyekiti wa Chama cha UPDP Taifa na Mjumbe wa Mkutano wa Bunge…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani