Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MARIA SARUNGI : Kinara wa mitandao ya kijamii anayesimama kwenye ukweli

Licha ya kuwa Watanzania wengi wameifahamu mitandao ya kijamii miaka michache iliyopita wapo ambao wamekuwa mstari wa mbele kuisukuma na kuifanya kuwa sehemu ya maisha ya watu wengi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Gumzo kwenye mitandao ya kijamii

Kwani mtindo wa nywele au ushungi wa mtu unasema chochote kuhusu tabia au mwenendo wa mtu huyo?

 

10 years ago

Mtanzania

Matusi yamuondoa Jaden Smith kwenye mitandao ya kijamii

BADI MCHOMOLO NA MTANDAO
MTOTO wa nguli wa filamu nchini Marekani, Will Smith ambaye ni mwanamuziki wa hip hop na filamu, Jaden Smith, ameamua kujiondoa kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kupokea ujumbe mbaya kutoka kwa mashabiki wake.
Msanii huyo aliyefikisha jumla ya mashabiki milioni tano katika akaunti yake ya Twitter, amesema sababu hiyo ndiyo iliyomtoa katika mtandao wa Twitter na sasa anajipanga kufunga kurasa zake katika mitandao mingine.
“Siyo lazima niendelee kutumia Twitter,...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Michuzi

BODI YA MIKOPO YAKANUSHA TAARIFA ZINAZOENEA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII

BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

AWAMU YA PILI YA WANAFUNZI WALIOPANGIWA MIKOPO KWA 2015/2016

BODI  ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuutaarifu umma kuwa kuna taarifa zinazosambazwa na baadhi ya mitandao ya kijamii kuwa Bodi haitatoa mikopo kwa waombaji wapya kwa mwaka wa masomo 2015/2016. Taarifa hizo si za kweli na hivyo Bodi inauomba umma kuzipuuza.


Aidha, Bodi ya Mikopo inapenda kutoa taarifa kwamba hadi sasa imekwishawapangia mikopo jumla ya waombaji mikopo wenye...

 

11 years ago

Mwananchi

Maria Sarungi: Sikutarajia kuzomewa bungeni

Maria Sarungi ni mwanaharakati na mmoja wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye amejizolea umaarufu katika kipindi kifupi kutokana na msimamo wake wa kutetea haki za raia.

 

9 years ago

Bongo5

Magufuli atrend kwenye mitandao ya kijamii Kenya, wasifia uchapakazi wake

john-magufuli-presidential-inauguration

Uchapakazi wa Rais Dkt John Magufuli unatuma ujumbe si kwa maafisa wa Tanzania pekee, bali na nchi za jirani pia na kuwaacha viongozi wa nchi hizo kwenye wakati mgumu.

john-magufuli-presidential-inauguration

Kenya ambayo imekuwa ikifuatilia siasa za Tanzania tangu wakati wa kampeni, imeonesha kupenda mbinu za Magufuli na wananchi wake wanatamani mtu kama yeye.

Kwa kipindi kifupi alichoingia madarakani, Magufuli amefanya mambo makubwa na wananchi wamependa.

Ziara yake ya kushtukiza kwenye hospitali ya Muhimbili ilifichua uovu...

 

10 years ago

Bongo5

Mastaa wa Bongo waliokuwa na ushawishi zaidi kwenye mitandao ya kijamii — 2014

Kampuni ya masuala ya teknolojia ya AF Group Tanzania imetoa orodha ya mastaa waliokuwa na ushawishi zaidi kwenye mitandao ya kijamii nchini. Methodology: Fan-base sum on Twitter, Facebook & Instagram in ‘000s). Hii ndio orodha yenyewe: 1. Nasib Abdul Juma @diamondplatnumz (score: 1,045) 2. Wema Sepetu @wema_sepetu (score: 653) 3. Millard Ayo @millardayo (score: 645) […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yakanusha uvumi uliokuwa umeenea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mavazi

napezi

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwa ofisini kwake.

Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo inapenda kuujulisha Umma kwamba kumekuwapo na upotoshwaji unaondelea katika mitandao ya kijamii hususan facebook, Instagram na WhatsApp ambapo sehemu ya upotoshaji huo imenukuliwa kama ifuatavyo “Wizara imetoa tamko kuwa kuanzia januari 2016 mavazi yote yasiyo stahiki ambayo hayaendani na mila na desturi zetu Wizara yangu na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani