Matusi yamuondoa Jaden Smith kwenye mitandao ya kijamii
BADI MCHOMOLO NA MTANDAO
MTOTO wa nguli wa filamu nchini Marekani, Will Smith ambaye ni mwanamuziki wa hip hop na filamu, Jaden Smith, ameamua kujiondoa kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kupokea ujumbe mbaya kutoka kwa mashabiki wake.
Msanii huyo aliyefikisha jumla ya mashabiki milioni tano katika akaunti yake ya Twitter, amesema sababu hiyo ndiyo iliyomtoa katika mtandao wa Twitter na sasa anajipanga kufunga kurasa zake katika mitandao mingine.
“Siyo lazima niendelee kutumia Twitter,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies22 Jun
Matusi ya kwenye mitandao ya kijamii yamuumiza Wema Sepetu kwa kumgusa mama yake Mzazi
Mtandao maarufu wa kijamii wa Instagram umekuwa sehemu ambayo mambo mengi yanafanyika siku hizi na kuwaacha watu wengine wakifurahi, kukasirika na wengine wakitoa machozi kutokana na vita isiyo rasmi inayoendeshwa na team zinazoundwa na mashabiki wanaodai kumlinda mtu fulani maarufu.
Vita ya "team" hizi imekuwa serious zaidi kwa wasanii wa kike na mara nyingi hushambuliana kwa maneno na hata matusi ya nguoni pale mmoja anapotaka kuvuka msitari wa mwingine.
Vita hiyo imemgusa Wema Sepetu...
9 years ago
Mtanzania17 Sep
Jaden Smith amtambulisha mpenzi wake
NEW YORK, MAREKANI
CHIPUKIZI wa filamu nchini Marekani, Jaden Smith, ameonesha watu kuwa amekua baada ya kumtambulisha
mpenzi wake, Sarah Snyder.
Msanii huyo mwenye miaka 17, aliambatana na mpenzi wake huyo katika maonyesho ya Gypsy Sport juzi jijini New York.
Uhusiano wa wawili hao ulianza mwanzoni mwa Julai, mwaka huu, baada ya kuonekana wakiwa
pamoja katika matukio mbalimbali.
Awali msanii huyo alidaiwa kuwa na uhusiano na mpenzi wa msanii wa Hip Hop, Tyga, Kylie Jenner, kabla ya kutoka...
11 years ago
BBCSwahili06 Aug
Gumzo kwenye mitandao ya kijamii
9 years ago
Michuzi28 Dec
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-mnE4PZjSkog/VkCUMYIAchI/AAAAAAAIFAU/HERqdUg_NYg/s72-c/Mkurugenzi%2BMtendaji%2B-%2BBw.%2BGeorge%2BNyatega.jpg)
BODI YA MIKOPO YAKANUSHA TAARIFA ZINAZOENEA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII
![](http://1.bp.blogspot.com/-mnE4PZjSkog/VkCUMYIAchI/AAAAAAAIFAU/HERqdUg_NYg/s640/Mkurugenzi%2BMtendaji%2B-%2BBw.%2BGeorge%2BNyatega.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-KasCgFTExCw/VkCTqUrAR2I/AAAAAAAIFAM/1SFgQEQTezY/s1600/New%2BPicture%2B%25281%2529.png)
AWAMU YA PILI YA WANAFUNZI WALIOPANGIWA MIKOPO KWA 2015/2016BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuutaarifu umma kuwa kuna taarifa zinazosambazwa na baadhi ya mitandao ya kijamii kuwa Bodi haitatoa mikopo kwa waombaji wapya kwa mwaka wa masomo 2015/2016. Taarifa hizo si za kweli na hivyo Bodi inauomba umma kuzipuuza.
Aidha, Bodi ya Mikopo inapenda kutoa taarifa kwamba hadi sasa imekwishawapangia mikopo jumla ya waombaji mikopo wenye...
10 years ago
Mwananchi26 Jul
MARIA SARUNGI : Kinara wa mitandao ya kijamii anayesimama kwenye ukweli
9 years ago
Bongo524 Nov
Magufuli atrend kwenye mitandao ya kijamii Kenya, wasifia uchapakazi wake
![john-magufuli-presidential-inauguration](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/john-magufuli-presidential-inauguration-300x194.jpg)
Uchapakazi wa Rais Dkt John Magufuli unatuma ujumbe si kwa maafisa wa Tanzania pekee, bali na nchi za jirani pia na kuwaacha viongozi wa nchi hizo kwenye wakati mgumu.
Kenya ambayo imekuwa ikifuatilia siasa za Tanzania tangu wakati wa kampeni, imeonesha kupenda mbinu za Magufuli na wananchi wake wanatamani mtu kama yeye.
Kwa kipindi kifupi alichoingia madarakani, Magufuli amefanya mambo makubwa na wananchi wamependa.
Ziara yake ya kushtukiza kwenye hospitali ya Muhimbili ilifichua uovu...
10 years ago
Bongo503 Jan
Mastaa wa Bongo waliokuwa na ushawishi zaidi kwenye mitandao ya kijamii — 2014