Jaden Smith amtambulisha mpenzi wake
NEW YORK, MAREKANI
CHIPUKIZI wa filamu nchini Marekani, Jaden Smith, ameonesha watu kuwa amekua baada ya kumtambulisha
mpenzi wake, Sarah Snyder.
Msanii huyo mwenye miaka 17, aliambatana na mpenzi wake huyo katika maonyesho ya Gypsy Sport juzi jijini New York.
Uhusiano wa wawili hao ulianza mwanzoni mwa Julai, mwaka huu, baada ya kuonekana wakiwa
pamoja katika matukio mbalimbali.
Awali msanii huyo alidaiwa kuwa na uhusiano na mpenzi wa msanii wa Hip Hop, Tyga, Kylie Jenner, kabla ya kutoka...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1WxkYiVIEvj22gkPMt4QwVgO-Fu86*4emxz9QWOaG1yTWo9Sx0x5eoEjsSKLzK87PeASaUdKA9vm*sDwLnaJtMFbI9-iqvCz/don.jpgw600h764.jpg?width=650)
D'BANJ APATANA NA DON JAZZY, AMTAMBULISHA MPENZI WAKE KWENYE TUZO ZA MAMA
10 years ago
Mtanzania06 May
Matusi yamuondoa Jaden Smith kwenye mitandao ya kijamii
BADI MCHOMOLO NA MTANDAO
MTOTO wa nguli wa filamu nchini Marekani, Will Smith ambaye ni mwanamuziki wa hip hop na filamu, Jaden Smith, ameamua kujiondoa kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kupokea ujumbe mbaya kutoka kwa mashabiki wake.
Msanii huyo aliyefikisha jumla ya mashabiki milioni tano katika akaunti yake ya Twitter, amesema sababu hiyo ndiyo iliyomtoa katika mtandao wa Twitter na sasa anajipanga kufunga kurasa zake katika mitandao mingine.
“Siyo lazima niendelee kutumia Twitter,...
9 years ago
Mtanzania10 Nov
Prezzo amtambulisha mpenzi mpya
NAIROBI, KENYA
NYOTA wa muziki nchini Kenya, Jackson Makini ‘CMB Prezzo’, amemtambulisha mpenzi wake mpya kupitia akaunti yake ya Instagram.
Msanii huyo kwa sasa anajulikana kwa jina la ‘Mfalme Mswati’ kutokana na tabia yake ya kubadilisha wasichana kila baada ya muda.
Siku za hivi karibuni msanii huyo alionekana kuwa mtulivu tofauti na miaka iliyopita, ambapo msanii huyo alikuwa na sifa ya kugombanisha warembo, lakini kwa sasa amekuwa na aina mpya ya kubadilisha wasichana kila...
10 years ago
VijimamboMPONI AMTAMBULISHA MKE WAKE NEEMA KWA WANADMV
9 years ago
Bongo508 Dec
Belle 9 amtambulisha Dj Summer wa EA Radio kuwa ndiye Dj wake rasmi
![Belle99](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/Belle99-300x194.jpg)
Kuna mabadiliko mengi ambayo tumeyashuhudia kwa muda mfupi kwenye muziki wa Belle 9 pamoja na utendaji wa kazi zake toka aanze kufanya kazi chini ya kampuni yake ya Vitamin Music.
Kwa mara ya kwanza video yake ‘Shauri Zao’ ilichezwa na Trace Urban, amepata dili la ubalozi, video yake mpya ‘Burger Movie Selfie’ nayo imeanza kuoneshwa na Trace Urban wiki hii.
Kingine kipya, Belle 9 amemtambulisha Dj Summer wa East Africa Radio/TV kuwa ndio atakuwa Dj wake rasmi kwenye show zake. Belle...
11 years ago
Bongo Movies14 Jul
SHILOLE akataliwa ukweni kisa umri wake kuwa mkubwa kuliko mpenzi wake.
Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ hawamtaki kwa madai kuwa ana umri mkubwa kuliko ndugu yao.
Wakizungumza na Ijumaa Wikienda kwa nyakati tofauti, baadhi ya wanandugu hao (majina yanahifadhiwa) walisema umri wa Shilole siyo wa kuishi na ndugu yao, Mziwanda kwani hawaendani.
“Ukweli ni kwamba mapenzi hayaingiliwi lakini tunaumia kuona ndugu yetu katika penzi zito na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jbaar29oQX7tCwf4bHl3jIw2xN1VvUQIVEwqNBzFhxhcZRYcHJZ4uJH4mVebht*NKUgskVXSW640IqPn3rC7Kp5B2jsE5Nsw/Nisha.jpg)
NISHA MPENZI WAKE WAMWAGANA
10 years ago
Mtanzania14 May
Kabula atulizwa na mpenzi wake
NA RHOBI CHACHA
BAADA ya kuachana na mwanamuziki Ruta Bushoke ‘Bushoke’, mwigizaji wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ ameibuka na kudai kwamba mpenzi wake mpya hataki aende kwenye kumbi za starehe.
Kabula bila kumtaja mpenzi wake huyo mpya, alidai kwamba amekatazwa na hatakiwi kuzungumzia habari za kwenda kwenye kumbi za starehe.
“Nimeamua kupunguza kwenda kwenye kumbi za starehe kwa sababu niko bize na mpenzi wangu na pia kwa sasa naandika filamu na nyimbo kwa ajili ya mradi wangu...
10 years ago
Bongo Movies08 Jan
Nisha na Mpenzi Wake Wamwagana
Mwigizaji wa kike anaeonyesha uwezo mkubwa kwenye tansia ya filamu hapa Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ na mpenzi wake aliyejulikana kwa jina la Farhad wanadaiwa kumwagana baada ya kuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu.
Chanzo makini cha GPL,kilisema kwamba Nisha na mpenzi wake huyo ambaye walikuwa na mipango ya kuoana mwaka jana lakini ndoa ikayeyuka waliachana kutokana na sababu zisizojulikana na sasa kila mmoja yupo bize na maisha yake.
Baada ya kuzinyaka habari hizo paparazi...