MPONI AMTAMBULISHA MKE WAKE NEEMA KWA WANADMV
Atufugwege Mponi na Neema wakiwa katika picha kwenye harusi yao iliyofanyika Mbeya Octoba 19, 2013 na kabla ya hapo walifanya sendoff party Octoba 11, 2013 jijini Dar. Atufugwege Mponi na Neema wakipata picha wakiwa meza kuu katika sherehe ya utambulisho wa Neema iliyofanyika siku ya Jumamosi May 16, 2015 katika ukumbi wa Hampton Inn na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki wa DMV. Atufugwege Mponi na mkewe Neema wakiwa na wapambe wao Cartius na RebecaAtufugwege Mponi na mkewe Neema...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania17 Sep
Jaden Smith amtambulisha mpenzi wake
NEW YORK, MAREKANI
CHIPUKIZI wa filamu nchini Marekani, Jaden Smith, ameonesha watu kuwa amekua baada ya kumtambulisha
mpenzi wake, Sarah Snyder.
Msanii huyo mwenye miaka 17, aliambatana na mpenzi wake huyo katika maonyesho ya Gypsy Sport juzi jijini New York.
Uhusiano wa wawili hao ulianza mwanzoni mwa Julai, mwaka huu, baada ya kuonekana wakiwa
pamoja katika matukio mbalimbali.
Awali msanii huyo alidaiwa kuwa na uhusiano na mpenzi wa msanii wa Hip Hop, Tyga, Kylie Jenner, kabla ya kutoka...
9 years ago
Bongo508 Dec
Belle 9 amtambulisha Dj Summer wa EA Radio kuwa ndiye Dj wake rasmi
Kuna mabadiliko mengi ambayo tumeyashuhudia kwa muda mfupi kwenye muziki wa Belle 9 pamoja na utendaji wa kazi zake toka aanze kufanya kazi chini ya kampuni yake ya Vitamin Music.
Kwa mara ya kwanza video yake ‘Shauri Zao’ ilichezwa na Trace Urban, amepata dili la ubalozi, video yake mpya ‘Burger Movie Selfie’ nayo imeanza kuoneshwa na Trace Urban wiki hii.
Kingine kipya, Belle 9 amemtambulisha Dj Summer wa East Africa Radio/TV kuwa ndio atakuwa Dj wake rasmi kwenye show zake. Belle...
10 years ago
GPLD'BANJ APATANA NA DON JAZZY, AMTAMBULISHA MPENZI WAKE KWENYE TUZO ZA MAMA
5 years ago
BBCSwahili19 Jun
Mume azungumzia machungu ya kumpoteza mke wake aliyekuwa mjamzito kwa virusi vya corona
11 years ago
Dewji Blog11 Aug
Binti wa kazi ajeruhiwa vibaya kwa kumwagiwa uji wa moto na mke wa bosi wake, kisa wivu wa kimapenzi
Msichana Jackline Lasway akiwa amelazwa katika wodi ya kina mama namba mbili katika hospitali ya Mkoa wa Singida baada ya kujeruhiwa kwa kumwagiwa uji wa moto wakati akiwa dukani kwa bosi wake eneo la soko kuu Manispaa ya Singida.
Na Mwandishi Wetu , Singida.
Msichana mmoja mkazi wa eneo la Minga Manispaa ya Singida amenusurika kifo baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa tajiri wake wa dukani kutokana na kile kinachosadikiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
Msichana huyo Jackline Lasway...
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Bongo521 Dec
Mabeste: Mabeste asimulia mke wake alivyougua kwa muda mrefu hadi kudhani atampoteza
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AMTAMBULISHA MGOMBEA URAIS WA CCM KWA WAZEE WA DAR ES SALAAM
10 years ago
VijimamboWANADMV WAWASILI BOSTON KWA AJILI YA KISOMO CHA KUMWOMBEA RASHID MKAKILE LEO
Kutoka kushoto ni Taji, Mayor, Rashid Mkakile, Eliud na Kessy wakipata picha ya pamoja na Rashid walipokwendakumjulia hali leo Jumamosi January 17, 2015
A.Alaykum, nategemea mnaendelea vizuri katika shughuli zenu za kila siku kwa uwezo wake AllahNilikuwa nawajuulisheni kuwa kutakuwa na kisomo cha kumsomea Ndugu yetu Rashid Mkakile ambaye ni mgonjwa alikuwa amelazwa Hospital ya Beth Israel Deaconess Medical Center na sasa hivi yupo kwenye Physical therapy kwa ajili ya Recovery, lakini bado ni...