Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Belle 9 amtambulisha Dj Summer wa EA Radio kuwa ndiye Dj wake rasmi

Belle99

Kuna mabadiliko mengi ambayo tumeyashuhudia kwa muda mfupi kwenye muziki wa Belle 9 pamoja na utendaji wa kazi zake toka aanze kufanya kazi chini ya kampuni yake ya Vitamin Music.

Belle99

Kwa mara ya kwanza video yake ‘Shauri Zao’ ilichezwa na Trace Urban, amepata dili la ubalozi, video yake mpya ‘Burger Movie Selfie’ nayo imeanza kuoneshwa na Trace Urban wiki hii.

Kingine kipya, Belle 9 amemtambulisha Dj Summer wa East Africa Radio/TV kuwa ndio atakuwa Dj wake rasmi kwenye show zake. Belle...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Jaden Smith amtambulisha mpenzi wake

Snip20150915_13NEW YORK, MAREKANI

CHIPUKIZI wa filamu nchini Marekani, Jaden Smith, ameonesha watu kuwa amekua baada ya kumtambulisha
mpenzi wake, Sarah Snyder.

Msanii huyo mwenye miaka 17, aliambatana na mpenzi wake huyo katika maonyesho ya Gypsy Sport juzi jijini New York.

Uhusiano wa wawili hao ulianza mwanzoni mwa Julai, mwaka huu, baada ya kuonekana wakiwa
pamoja katika matukio mbalimbali.

Awali msanii huyo alidaiwa kuwa na uhusiano na mpenzi wa msanii wa Hip Hop, Tyga, Kylie Jenner, kabla ya kutoka...

 

10 years ago

Vijimambo

MPONI AMTAMBULISHA MKE WAKE NEEMA KWA WANADMV

 Atufugwege Mponi na Neema wakiwa katika picha kwenye harusi yao iliyofanyika Mbeya Octoba 19, 2013 na kabla ya hapo walifanya sendoff party Octoba 11, 2013 jijini Dar.  Atufugwege Mponi na Neema wakipata picha wakiwa meza kuu katika sherehe ya utambulisho wa Neema iliyofanyika siku ya Jumamosi May 16, 2015 katika ukumbi wa Hampton Inn na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki wa DMV.  Atufugwege Mponi na mkewe Neema wakiwa na wapambe wao Cartius na RebecaAtufugwege Mponi na mkewe Neema...

 

10 years ago

GPL

D'BANJ APATANA NA DON JAZZY, AMTAMBULISHA MPENZI WAKE KWENYE TUZO ZA MAMA

Mwanamuziki D’banj na prodyuza na mwanamuziki Don Jazzy wakiwa kwenye tuzo hizo.
WAKATI mashabiki wakifikiri mtafaruku kati ya mwanamuziki D’banj na prodyuza na mwanamuziki Don Jazzy ukiongezeka,  D’banj aliwashangaza watu wote kwa kusema tuzo yake aliyopata katika mchuano wa MTVMAMA huko Afrika Kusini ni zawadi kwa prodyuza wake wa zamani, Don Jazzy. D’banj akiwa na mpenzi wake. Mwanamuziki huyo...

 

10 years ago

GPL

BELLE 9 KUWA KIMATAIFA ZAIDI!

Staa anayesumbua kwa sasa na Kibao cha Shauri Zao, Abedinego Damian ‘Belle 9’. Boniphace NgumijeNGUMIJE
STAA anayesumbua kwa sasa na Kibao cha Shauri Zao, Abedinego Damian ‘Belle 9’ amefunguka kuwa kufuatia wimbo wake huo kuanza kufanya vizuri kimataifa ikiwa ni pamoja na kuchezwa kwenye vituo mbalimbali vya televisheni ikiwemo Trace Urban kumemfanya apate mzuka wa kuandaa kazi nyingine kali ambayo...

 

11 years ago

Bongo5

Belle 9 auzungumzia wimbo wake mpya Vitamin Music

Belle 9 ameachia wimbo wake mpya ‘Vitamin Music’ aliomshirikisha Joh Makini. Akizungumza na XXL ya Clouds FM jana, Belle alisema wimbo huo ni sehemu ya project yake mpya ya album yenye jina hilo. “Ngoma tulifanya kwa Mona Gangster, Classic Sounds lakini mimi sikumtafuta Joh na yeye hakunitafuta, ni ushikaji tu wa muda mrefu, akija studio […]

 

10 years ago

Bongo5

Belle 9 ahamishia rasmi makazi yake jijini Dar, azitaja sababu zilizomuhamisha kwao Morogoro

Wasanii wengi wa muziki waliopo Dar wametoka mikoani, na ukijaribu kuwauliza sababu za kuhamia Dar hata kama mikoa wanayotoka kuna studio nyingi za kurekodi pamoja na vituo vya radio, wengi wao hutoa sababu za kuja karibu na connection muhimu za media, studio, na wadau muhimu wa muziki. Upande wa Belle 9 sababu hizo hazikumshawishi kwa […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Ni Rasmi sasa Al Sisi ndiye Rais - Misri

Matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa urais nchini Misri yamethibitisha kuwa Abdul Fattah AL Sisi ameshinda urais.

 

11 years ago

GPL

MAULID KITENGE ATUA RADIO EFM RASMI

Mtangazaji mahiri wa habari za michezo, Maulidi Baraka Kitenge akisaini mkataba wa kazi na kituo cha radio kiitwacho EFM 93.7 kilichopo Kawe jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa vipindi wa Radio EFM, Dickson Ponela.…

 

9 years ago

Michuzi

RADIO 5 YAWAUNGANISHA PSPF NA WADAU WAKE

Wapili kushoto ni Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa kijamii wa PSPF Adam Mayingu ,kulia ni Afisa mahusiano wa mfuko huo Bw.Abdul Njaidi akifatiwa na meneja Masoko na Mahusiano wa Radio 5 Bi.Sarah Keiya pamoja na Meneja Biashara wa kituo hicho Bi.Angela MainaKampuni ya Tana Communication Media inayomiliki kituo cha Radio 5  pamoja na mfuko wa kijamii wa PSPF imewafikia wadau wa mfuko huo kwa kuwapa elimu kupitia kipindi cha “Good-Morning TanzaniaMkurugenzi mkuu wa mfuko huo Bw.Adam Mayingu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani