BELLE 9 KUWA KIMATAIFA ZAIDI!
![](http://api.ning.com:80/files/iM6nZUUaDa5r5tBDLorXHWLHXceqbM2huKIjZjSniXH198B7F0jdeJm8DPW2QDtdUem5B*uadZZCVSBD7xw0ugV3KU5yeQO9/IMG20150303WA0009.jpg?width=650)
Staa anayesumbua kwa sasa na Kibao cha Shauri Zao, Abedinego Damian ‘Belle 9’. Boniphace NgumijeNGUMIJE STAA anayesumbua kwa sasa na Kibao cha Shauri Zao, Abedinego Damian ‘Belle 9’ amefunguka kuwa kufuatia wimbo wake huo kuanza kufanya vizuri kimataifa ikiwa ni pamoja na kuchezwa kwenye vituo mbalimbali vya televisheni ikiwemo Trace Urban kumemfanya apate mzuka wa kuandaa kazi nyingine kali ambayo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo508 Dec
Belle 9 amtambulisha Dj Summer wa EA Radio kuwa ndiye Dj wake rasmi
![Belle99](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/Belle99-300x194.jpg)
Kuna mabadiliko mengi ambayo tumeyashuhudia kwa muda mfupi kwenye muziki wa Belle 9 pamoja na utendaji wa kazi zake toka aanze kufanya kazi chini ya kampuni yake ya Vitamin Music.
Kwa mara ya kwanza video yake ‘Shauri Zao’ ilichezwa na Trace Urban, amepata dili la ubalozi, video yake mpya ‘Burger Movie Selfie’ nayo imeanza kuoneshwa na Trace Urban wiki hii.
Kingine kipya, Belle 9 amemtambulisha Dj Summer wa East Africa Radio/TV kuwa ndio atakuwa Dj wake rasmi kwenye show zake. Belle...
10 years ago
BBCSwahili12 May
Yanga yajifua kimataifa zaidi
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Wananchi wengi wanaamini kuwa gesi imeleta neema nchini Tanzania, lakini wengi wana wasiwasi kuwa Serikali na matajiri watafaidika zaidi
Mabomba ya kusafirisha gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.
Wananchi wanne kati ya watano wanaamini kuwa mafuta na gesi yatawanufaisha wao, watoto wao na nchi yao kwa ujumla. Wakati huo huo, wananchi wanne kati ya kumi (37%) wanaamini kuwa viongozi wa Serikali na matajiri ndio wataofaidika zaidi. Pia, zaidi ya nusu (55%) wangependa baadhi ya mapato ya mafuta na gesi wapewe wananchi moja kwa moja kama fedha taslimu.
Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika muhtasari wa utafiti wenye...
11 years ago
Uhuru Newspaper22 Jul
CPA kuwa ya kimataifa?
Na Mwandishi Wetu, Arusha
KAMATI ya wawakilishi wa mabunge wanachama wa Jumuia ya Madola Kanda ya Afrika (CPA) inatarajia kuwasilisha ripoti yenye mapendekezo ya kutaka Bunge hilo liwe na mwonekano wa kimataifa.
Ripoti hiyo itawasilishwa katika mkutano mkuu wa 45 unaofanyika mjini Arusha.
Uamuzi wa kuwasilishwa kwa ripoti hiyo ulifikiwa jana na kamati ya wawakilishi wa mabunge wanachama wa umoja huo, iliyoketi katika ukumbi wa mikutano kwenye hoteli ya Ngurdoto.
Akizungumza katika kikao cha...
9 years ago
Habarileo24 Oct
Yanga sasa wawazia kimataifa zaidi
YANGA inaongoza Ligi Kuu Tanzania Bara, hali inayompa kiburi Katibu Mkuu wa klabu hiyo kusema kuwa sasa wanajipanga kimataifa zaidi.
10 years ago
Habarileo06 Apr
Deluxe ya TRL ni ya kimataifa zaidi na salama
TRENI mpya ya kisasa (Deluxe) ya Kampuni ya Reli nchini (TRL) imetajwa kuwa ni miongoni mwa treni iliyozingatia viwango vya kimataifa vya usafiri huo.
9 years ago
Habarileo17 Oct
Yanga sasa kimataifa zaidi, asema Manji
MWENYEKITI wa Yanga, Yusuph Manji amesema malengo ya Yanga wakati ujao ni kufanya vizuri katika mashindano ya Afrika na sio kuifunga Simba peke yake kama ambavyo imekuwa hivyo.
5 years ago
BBCSwahili11 Mar
WHO yatangaza coronavirus kuwa janga la kimataifa
10 years ago
Mwananchi30 Nov
Ndoto zangu ni kuwa msanii wa kimataifa