Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndoto zangu ni kuwa msanii wa kimataifa

Burudani ni suala muhimu katika maisha ya kila siku, kwa upande mwingine pia ni ajira kwa baadhi ya vijana . Kundi kubwa la vijana limekuwa likitamani kuingia katika fani hiyo na kuwa wasanii ili

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Ndoto Zangu Zimefika Kimataifa— Godliver

NYOTA wa filamu ya Aisha na tamthilia ya Siri ya Mtungi Godliver Godian ‘Aisha’ amefunguka kwa kusema kuwa ndoto zake ambazo amekuwa akipigania toka kuanza kwake kwa sana anaona sasa zimefunguka kwa kushiriki katika kazi kubwa akianzia na Siri ya Mtungi na filamu ya Aisha.

“Nashukru Mungu kwa kunifungulia milango nimepigana sana katika tasnia ya filamu na lengo kuu ilikuwa kucheza filamu kimataifa na nimefikia huko baada ya kucheza sinema kubwa kama Aisha ni hatua kubwa sana baada ya...

 

9 years ago

Bongo5

Msanii anayetaka kuwa wa kimataifa ni lazima ajue kiingereza — Diamond

Naseeb ‘Diamond Platnumz’ Abdul amesema kuwa lugha ya Kiingereza ni lazima kwa msanii yeyote anayetaka kuwa wa kimataifa, kwasababu ndio kiungo kikubwa na muhimu kati ya msanii na wadau muhimu wa nje. Diamond amesimulia jinsi ambavyo kiingereza kilimpa changamoto wakati alipoanza kulitafuta soko la kimataifa na kumsababisha afanye juhudi binafsi za kujifunza. “Mwaka jana nilipata […]

 

9 years ago

Bongo5

Bobi Wine asema hana mpango wa kwenda kimataifa, anaridhika kuwa msanii wa ndani

Wakati wanamuziki wengine wa Afrika Mashariki wakiendelea kutafuta njia za kuvuka mipaka ili kutangaza muziki wao kimataifa, Bobi Wine kutoka Uganda amewashangaza wengi baada ya kusema kuwa anaridhika kuwa ‘local artist’ na hana mpango wa kwenda ‘International’. Akiongea kupitia kipindi cha The Beat cha NTV ya Uganda Ijumaa iliyopita, Bobi Wine amesema kuwa kazi yake […]

 

10 years ago

Mwananchi

Makonda: Vurugu zilizima ndoto zangu

Katibu wa Hamasa wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Paul Makonda amesema alitamani kuzungumza siku ya mdahalo ulioandaliwa na Kigoda cha Mwalimu Nyerere Foundation lakini vurugu zikazima ndoto yake.

 

10 years ago

Vijimambo

Dkt Mwele: Kutoka binti mwenye ndoto kuwa mtafiti hadi mwanasayansi wa kimataifa hadi mwania #Urais2015

Mapema wiki hii, mwanasanyansi wa kimataifa Mtanzania, mwanamama Dokta Mwelecele (Mwele) Malecela, alitangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania kwa kuomba ridhaa ya kupitishwa na Chama Cha Mapinduzi CCM. Dokta Mwele ambaye hadi wakati anatangaza uamuzi huo ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), ana historia ya kipekee ambayo nilibahatika kuifahamu kupitia chapisho moja lililopo katika blogu hii. Hata hivyo, chapisho hilo ambalo lilisomwa na maelfu ya watu,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JAMES CHIMWINGA ‘AMOUR’: Msanii mwenye ndoto ya kuwaunganisha chipukizi

TANZANIA ni miongoni mwa nchi inayokuja kasi katika suala la muziki hasa wa kizazi kipya ambako kila wakati kumekuwepo na vipaji vipya vinavyoibuka. Hata hivyo kutokana na kuongezeka kwa teknolojia...

 

9 years ago

Mtanzania

Nalimi Mayunga: Ndoto yangu kimataifa imetimia

MalimiNA KOKU DAVID

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Nalimi Mayunga ambaye ni mshindi wa shindano la ‘Airtel Trace Music Stars Afrika’, amesema hatawaangusha Watanzania na kwamba ataipeperusha vizuri bendera ya Tanzania nchini Marekani.

Msanii huyo ameondoka jana kuelekea nchini Marekani ambako atafanya kazi na nguli wa muziki wa Rnb duniani, Aliaume Damala ‘Akon’ na atakaa huko  kwa wiki moja.

Akizungumza jijini Dar es Salaam kabla ya kuondoka, Mayunga alisema kuwa ndoto yake ya kufanya kazi ya...

 

9 years ago

Bongo5

Msanii kuwa na tuzo chache haimaanishi kuwa hafanyi vizuri — Vanessa Mdee

Tuzo kwa msanii ni kitu muhimu sana ambacho huongeza uzito wa CV, thamani na heshima kwa msanii husika hasa kwa zile tuzo kubwa. Vanessa Mdee ambaye hivi karibuni ameshinda tuzo ya ‘Msanii Bora wa Kike Afrika Mashariki’-Afrimma, amesema anaamini msanii anapopata tuzo nyingi haimaanishi ndio anafanya vizuri sana, na msanii kuwa na tuzo chache haimaanishi […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani