Nalimi Mayunga: Ndoto yangu kimataifa imetimia
NA KOKU DAVID
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Nalimi Mayunga ambaye ni mshindi wa shindano la ‘Airtel Trace Music Stars Afrika’, amesema hatawaangusha Watanzania na kwamba ataipeperusha vizuri bendera ya Tanzania nchini Marekani.
Msanii huyo ameondoka jana kuelekea nchini Marekani ambako atafanya kazi na nguli wa muziki wa Rnb duniani, Aliaume Damala ‘Akon’ na atakaa huko kwa wiki moja.
Akizungumza jijini Dar es Salaam kabla ya kuondoka, Mayunga alisema kuwa ndoto yake ya kufanya kazi ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania24 Aug
Mayunga Nalimi afiwa na mama
MSHINDI wa shindano ya muziki la Airtel Trace Star, Nalimi Mayunga, amefiwa na mama yake aliyekuwa akiishi mkoani Tabora.
Katika ukurasa wake ya facebook msanii huyo alituma picha akiwa katika basi la kuelekea Tabora na maneno yalisomeka kwamba: “Mwenyezi Mungu tunakuomba utufanyie wepesi katika safari yetu hii kuelekea Tabora natuweze kumuhifadhi salama mama yangu inshallah na ninakushukuru kwa kila jambo unipangialo kwani ni wewe pekee unayejua kesho ya mwanadamu na hatima yake, mpokee...
9 years ago
GPL
MAYUNGA NALIMI AELEKEA MAREKANI KUREKODI VIDEO NA AKON
9 years ago
Michuzi
Mshindi wa Airtel Trace Nalimi Mayunga kukutana na Akon Marekani

Mayunga aliibuka kuwa mshindi wa Airtel Trace Afrika katika mashindano yaliyoshirikisha nchi 13 barani Afrika yaliyofanyika nchini Kenya mwanzoni mwa mwaka huu na kujishindia zawadi nono ikiwemo deal ya kurekodi wimbo na video pamoja na kupata...
9 years ago
GPL
MSHINDI WA AIRTEL TRACE NALIMI MAYUNGA KUKUTANA NA AKON MAREKANI
10 years ago
Michuzi
MSHINDI WA AIRTEL TRACE NALIMI MAYUNGA KUACHIA VIDEO YA KIBAO CHAKE CHA "NICE COUPLE" KWENYE CHANEL YA TRACE LEO.

Mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Star Nalimi Mayunga ameachiakibao chake kipya cha " Nice Couple" video itakayorushwa kuanzia leokatika kituo cha DSTV chanel ya Trace Urban 325
MWANZONI mwa mwezi huu, Mshindi huyo wa Airtel Trace Music star alituamjini Johannesburg South Afrika akitokea nchini Tanzania ili kuanzasafari yake kujiendeleza kimuziki na kufikia ndoto zake mara baada yakuibuka mshindi wa mashindano makubwa yaliyoshirikisha nchi 13 baraniAfrika yaliyofanyika tarehe 18...
11 years ago
Dewji Blog14 Oct
Nina ndoto yangu kuzinduliwa Dar
Ephraim Mwansasu.
Na Mwandishi wetu
MWIMBAJI wa nyimbo za kiroho Mchungaji Kiongozi wa Huduma ya Hossana Life Mission, Ephraim Mwansasu, anatarajia kuzindua albam yake ya tano inayojulikana kwa jina la ‘Nina Ndoto Yangu.’
Akizungumza jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, kiongozi huyo alisema ujumbe uliyomo katika wimbo huo ni kwa ajili ya makundi yote bila kubagua madhehebu.
Mchungaji Mwansasu, alisema uzinduzi huo anatarajia kufanya Novemba mbili mwaka huu, ambapo albamu hiyo itakuwa na...
11 years ago
Tanzania Daima12 Oct
JOYCE KIRIA: Changamoto zimefanikisha ndoto yangu
‘UGUMU wa Maisha ni Kipimo cha Akili’ Huu ni usemi uliozoeleka katika maisha ya jamii hasa kwenye miaka ya sasa ambapo hali ya uchumi imekuwa ikizidi kuwa ngumu. Ugumu huo...
10 years ago
Mwananchi24 Jan
ZUHURA YUNUS: Haikuwa ndoto yangu kuwa mtangazaji
9 years ago
Mwananchi03 Jan
LUCKY SABAS : Kuwa mbunifu wa mitindo ilikuwa ndoto yangu