D'BANJ APATANA NA DON JAZZY, AMTAMBULISHA MPENZI WAKE KWENYE TUZO ZA MAMA
![](http://api.ning.com:80/files/1WxkYiVIEvj22gkPMt4QwVgO-Fu86*4emxz9QWOaG1yTWo9Sx0x5eoEjsSKLzK87PeASaUdKA9vm*sDwLnaJtMFbI9-iqvCz/don.jpgw600h764.jpg?width=650)
Mwanamuziki D’banj na prodyuza na mwanamuziki Don Jazzy wakiwa kwenye tuzo hizo. WAKATI mashabiki wakifikiri mtafaruku kati ya mwanamuziki D’banj na prodyuza na mwanamuziki Don Jazzy ukiongezeka, D’banj aliwashangaza watu wote kwa kusema tuzo yake aliyopata katika mchuano wa MTVMAMA huko Afrika Kusini ni zawadi kwa prodyuza wake wa zamani, Don Jazzy. D’banj akiwa na mpenzi wake. Mwanamuziki huyo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/Dbanji-na-Don-jaz.png)
D'BANJ AFURAHISHWA NA KOLABO YA DON JAZZY
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GgrM3U-k7Ju48Mx54C1pr1EKo8uB-LyJNK4dGGKGSaQv6Jy6iCKKMOEH-r6NQKMiy5Dcp7ItXbEXk4lh4Odimz-W0GAiue4D/2FACEIDIBIA1.jpg?width=650)
2-FACE AWAOMBA DON JAZZY, D'BANJ WAANZISHE TENA USHIRIKIANO
9 years ago
Bongo506 Oct
I planned a song with Don Jazzy before 2Face begged us — D’banj
9 years ago
Mtanzania17 Sep
Jaden Smith amtambulisha mpenzi wake
NEW YORK, MAREKANI
CHIPUKIZI wa filamu nchini Marekani, Jaden Smith, ameonesha watu kuwa amekua baada ya kumtambulisha
mpenzi wake, Sarah Snyder.
Msanii huyo mwenye miaka 17, aliambatana na mpenzi wake huyo katika maonyesho ya Gypsy Sport juzi jijini New York.
Uhusiano wa wawili hao ulianza mwanzoni mwa Julai, mwaka huu, baada ya kuonekana wakiwa
pamoja katika matukio mbalimbali.
Awali msanii huyo alidaiwa kuwa na uhusiano na mpenzi wa msanii wa Hip Hop, Tyga, Kylie Jenner, kabla ya kutoka...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sGeqV*sT8d0vVPw0VlXmcdOAWT6zD9O15WmSUYZGIwxMwVz5zfhSi4lxiCs4FDLcf5XQJyXi-1NowpBEVKy-a8W7BtnNPMrQ/IMG_2090.jpg?width=650)
YAYA TOURE, D'BANJ WAUNGANA NA KIKWETE KWENYE KILIMO
9 years ago
Mtanzania10 Nov
Prezzo amtambulisha mpenzi mpya
NAIROBI, KENYA
NYOTA wa muziki nchini Kenya, Jackson Makini ‘CMB Prezzo’, amemtambulisha mpenzi wake mpya kupitia akaunti yake ya Instagram.
Msanii huyo kwa sasa anajulikana kwa jina la ‘Mfalme Mswati’ kutokana na tabia yake ya kubadilisha wasichana kila baada ya muda.
Siku za hivi karibuni msanii huyo alionekana kuwa mtulivu tofauti na miaka iliyopita, ambapo msanii huyo alikuwa na sifa ya kugombanisha warembo, lakini kwa sasa amekuwa na aina mpya ya kubadilisha wasichana kila...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/JIM-2.jpg)
MPENZI WA MWIGIZAJI JIM CARREY AJIUA BAADA YA 'KUTEMWA'
9 years ago
Bongo519 Sep
Videp: Tolu Ft. Don Jazzy — iFemi
9 years ago
Bongo513 Oct
Music: Timaya Ft Don Jazzy — I Concur