Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


I planned a song with Don Jazzy before 2Face begged us — D’banj

Popular singer and entertainer, D’banj has said that even before iconic songster, 2Face Idibia pleaded with him and his former partner, Don Jazzy to come back together and give fans one more hit, they already had something like that planned. In an exclusive chat with Vanguard Nigeria, D’banj enthused, “Glo has said they will sponsor […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

D'BANJ AFURAHISHWA NA KOLABO YA DON JAZZY

Mwimbaji maarufu wa Nigeria, D’banj (kulia) na prodyuza Don Jazzy USEMI   kwamba ‘Sauti ya umma ni sauti ya Mungu’ umewaleta karibu mwimbaji maarufu wa Nigeria, D’banj na prodyuza Don Jazzy ili kukidhi hau ya mashabiki wao. Hapa itakumbukwa kwamba mwimbaji maarufu wa Nigeria, 2Face Idibia aliwahi kushikamana na  mshikaji wake, Don Jazzy, na kuwapa mashabiki wao bonge la wimbo wa...

 

9 years ago

GPL

2-FACE AWAOMBA DON JAZZY, D'BANJ WAANZISHE TENA USHIRIKIANO

Mwanamuziki maarufu wa Nigeria, 2-Face Idibia. Lagos Nigeria MWANAMUZIKI maarufu wa Nigeria, 2Face Idibia, ametoa wito kwa wanamuziki wawili nchini mwake, Don Jazzy na D’Banj kufikiria kuungana ili kutoa wimbo mmoja, kwani yeye anawaheshimu sana wawili hao kimuziki. 2Face Idibia aliyesema hayo kwenye onyesho la Fortyfied Concert lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kuadhimisha mwaka wa 40 wa kuzaliwa kwake akiwa jijini...

 

10 years ago

GPL

D'BANJ APATANA NA DON JAZZY, AMTAMBULISHA MPENZI WAKE KWENYE TUZO ZA MAMA

Mwanamuziki D’banj na prodyuza na mwanamuziki Don Jazzy wakiwa kwenye tuzo hizo.
WAKATI mashabiki wakifikiri mtafaruku kati ya mwanamuziki D’banj na prodyuza na mwanamuziki Don Jazzy ukiongezeka,  D’banj aliwashangaza watu wote kwa kusema tuzo yake aliyopata katika mchuano wa MTVMAMA huko Afrika Kusini ni zawadi kwa prodyuza wake wa zamani, Don Jazzy. D’banj akiwa na mpenzi wake. Mwanamuziki huyo...

 

9 years ago

Mtanzania

Ben Paul: Tuige mfano wa 2Face, D Banj

benNA THERESIA GASPER

MSANII wa kizazi kipya, Bernady Paul ‘Ben Paul’, amewataka wasanii wa Tanzania waige tabia za wasanii wa Nigeria, D Banj na 2Face kwa kuwa huwa hawana masihara katika uandaaji wa kazi zao za muziki.

Ben Paul alisema wasanii hao wanajua wanachofanya kuanzia katika uandaaji wa kazi zao hadi jukwaani tofauti na baadhi ya wasanii wetu hapa hukurupuka bila kujiandaa kwa kazi zao.

“2Face na D Banj ni wasanii wanaoendelea kudumu katika muziki kwa miaka mingi kwa kuwa ni...

 

9 years ago

Bongo5

Ben Pol ayasema haya kuhusu 2Face na D’Banj, ni collabo?

Ben Pol amewataka wasanii wa Tanzania waige mfano wa wasanii nguli wa Nigeria, D’Banj na 2Face kwakuwa hawana utani katika uandaaji wa kazi zao za muziki. Ben Pol ameliambia gazeti la Mtanzania kuwa wasanii hao wanajua wanachofanya kuanzia katika uandaaji wa kazi zao hadi jukwaani tofauti na baadhi ya wasanii wetu hapa nchini wanaokurupuka bila […]

 

10 years ago

Bongo5

New Song: D’Banj — Feeling The Nigga

D’banj ameachia ngoma mpya iitwayo “Feeling The Nigga”, wimbo huo umetengenezwa na DeeVee. Usikilize hapa

 

9 years ago

Bongo5

Music: Timaya Ft Don Jazzy — I Concur

Wimbo mpya wa msanii kutoka Nigeria Timaya unaitwa “I Concur” amemshirikisha Mavin Dynasty/Mavin Records boss Don Jazzy. Upo hapa sikiliza. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Videp: Tolu Ft. Don Jazzy — iFemi

Here’s the classic video to the stunning classic song iFemi by Tolu featuring Don Jazzy. Produced by BabyFresh, this is an amazingly beautiful song inspired by Tolu’s grandma. Here’s the video shot by Mex. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na […]

 

10 years ago

Bongo5

New Video: P-Square ft. Don Jazzy — Collabo

Mapacha wa P-Square wametoa video ya wimbo wao ‘Collabo’ waliyomshirikisha Don Jazzy. Video imefanyika Afrika Kusini na kuongozwa na Clarence Peters na Jude Okoye.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani