Prezzo amtambulisha mpenzi mpya
NAIROBI, KENYA
NYOTA wa muziki nchini Kenya, Jackson Makini ‘CMB Prezzo’, amemtambulisha mpenzi wake mpya kupitia akaunti yake ya Instagram.
Msanii huyo kwa sasa anajulikana kwa jina la ‘Mfalme Mswati’ kutokana na tabia yake ya kubadilisha wasichana kila baada ya muda.
Siku za hivi karibuni msanii huyo alionekana kuwa mtulivu tofauti na miaka iliyopita, ambapo msanii huyo alikuwa na sifa ya kugombanisha warembo, lakini kwa sasa amekuwa na aina mpya ya kubadilisha wasichana kila...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania17 Sep
Jaden Smith amtambulisha mpenzi wake
NEW YORK, MAREKANI
CHIPUKIZI wa filamu nchini Marekani, Jaden Smith, ameonesha watu kuwa amekua baada ya kumtambulisha
mpenzi wake, Sarah Snyder.
Msanii huyo mwenye miaka 17, aliambatana na mpenzi wake huyo katika maonyesho ya Gypsy Sport juzi jijini New York.
Uhusiano wa wawili hao ulianza mwanzoni mwa Julai, mwaka huu, baada ya kuonekana wakiwa
pamoja katika matukio mbalimbali.
Awali msanii huyo alidaiwa kuwa na uhusiano na mpenzi wa msanii wa Hip Hop, Tyga, Kylie Jenner, kabla ya kutoka...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1WxkYiVIEvj22gkPMt4QwVgO-Fu86*4emxz9QWOaG1yTWo9Sx0x5eoEjsSKLzK87PeASaUdKA9vm*sDwLnaJtMFbI9-iqvCz/don.jpgw600h764.jpg?width=650)
D'BANJ APATANA NA DON JAZZY, AMTAMBULISHA MPENZI WAKE KWENYE TUZO ZA MAMA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MlukZF2i55IZuotpOleYHwgBmkuy*eWvV2MEPVKDvxj6lfpWgAVMJv0hnvQjhnyGaF7xwDDkuKxakSo9D8mesgiIZMSS1v7X/wolpeee.jpg?width=650)
WOLPER AMTAMBULISHA MCHUMBA MPYA
10 years ago
GPLWEMA AMTAMBULISHA MSANII MPYA WA KAMPUNI YAKE
10 years ago
CloudsFM29 Dec
Wema Sepetu amtambulisha msanii mpya kwenye kampuni yake ya Endless Fame
Mkurugenzi wa kampuni ya Endless Fame,Wema Sepetu,akimtambulisha msanii mpya,Ally Luna ambaye atakuwa chini ya usimamizi wa kampuni hiyo ambapo alitambulishwa usiku wa kuamkia Dec 29 kwa mashabiki kwenye ukumbi wa Kibo Complex uliopo Tegeta Dar es Salam.
Shoo hiyo ilisindikizwa na wasanii mbalimbali akiwemo , Izzo Bizness, Barnaba, Bob Junior, God Zilla, Mirror na hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye event hiyo.
Izzo B.
Bob Junior.
Petitman
Msanii Linex.
Msanii mpya wa Endless Fame,Ally Luna.
10 years ago
Bongo509 Sep
Picha: Prezzo amweka wazi mrembo wake mpya
10 years ago
Dewji Blog09 Dec
Baada ya kimya kirefu hii ni ngoma mpya kutoka kwa Prezzo “Bila Mundai”
Kichwa cha 254,Prezzo,Mr.Trendsetter,mzee wa swagg chafu,baada ya kimya cha muda kidogo, anakuja tena na ngoma yake mpya inayoitwa “Bila Mundai”,ipate bila mundai kwenye mkito hapa https://mkito.com/song/bila-mundai-prezzo/6521 ,kwa mahojiano,bookings na inquiries kuhusu Prezzo call +255787276352 au andika barua pepe kwenda bookings.prezzo@gmail.com
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Mabibi na Mabwana Prezzo katuletea hii video mpya ‘Mrembo’ itazame hapa….(+Video)
Rapper kutokea 254, Prezzo time hii ametuletea hii video yake mpya ya single iitwayo ‘Mrembo’ itazame hapa Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana naMillardAyo kwenye Twitter, FB, Instagram […]
The post Mabibi na Mabwana Prezzo katuletea hii video mpya ‘Mrembo’ itazame hapa….(+Video) appeared first on...
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Shamsa achekelea mpenzi mpya
Staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford
Na Gladness Mallya
STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford ameonesha furaha yake ya kuumaliza mwaka kwa kumpata mpenzi mpya, ambaye hata hivyo, alikataa kutaja jina lake.
Akizungumza na gazeti hili juzikati, Shamsa alisema mwaka huu pia umeweka historia kwa yeye kuweza kutimiza mambo yote aliyojipangia tangu alipoachana na baba wa mtoto wake.
“Nafurahi sana namaliza mwaka nikiwa nimetimiza malengo pia kuwa na mpenzi mpya ambaye ni mume wangu mtarajiwa, ndani ya...