Shamsa achekelea mpenzi mpya
Staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford
Na Gladness Mallya
STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford ameonesha furaha yake ya kuumaliza mwaka kwa kumpata mpenzi mpya, ambaye hata hivyo, alikataa kutaja jina lake.
Akizungumza na gazeti hili juzikati, Shamsa alisema mwaka huu pia umeweka historia kwa yeye kuweza kutimiza mambo yote aliyojipangia tangu alipoachana na baba wa mtoto wake.
“Nafurahi sana namaliza mwaka nikiwa nimetimiza malengo pia kuwa na mpenzi mpya ambaye ni mume wangu mtarajiwa, ndani ya...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies10 Apr
Penzi la Nay na Shamsa la Sababisha Vilio kwa Siwema na Mume wa Shamsa
Penzi la staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford na Staa wa Bongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ limeibua tafrani kubwa huku waliokuwa wapenzi wa mastaa hao wakijikuta wakiangua vilio kweupe.
Kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa, Mara baada ya wawili hao kutangazwa rasmi kuwa sasa ni mahaba niue huku picha za ushahidi zikimwagwa, aliyekuwa mwandani wa Nay, Siwema a.k.a Wemalicious na aliyekuwa mume wa Shamsa, Dickson ‘Dick’ wanadaiwa kujikuta kwenye hali mbaya kiasi cha kumwaga...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dMNnaPiQ3VhvVq8FWRvQvkm8yteaMqCsQcVPGBaznIAly7u77pSRlQUnCxyQg7lOCQRkiwgo9xFRUEPDvCBoJ8X5xqp3zTgP/FRONTIJUMAA.gif?width=650)
PENZI LA NAY, SHAMSA SIWEMA, MUME WA SHAMSA VILIO
9 years ago
Mtanzania10 Nov
Prezzo amtambulisha mpenzi mpya
NAIROBI, KENYA
NYOTA wa muziki nchini Kenya, Jackson Makini ‘CMB Prezzo’, amemtambulisha mpenzi wake mpya kupitia akaunti yake ya Instagram.
Msanii huyo kwa sasa anajulikana kwa jina la ‘Mfalme Mswati’ kutokana na tabia yake ya kubadilisha wasichana kila baada ya muda.
Siku za hivi karibuni msanii huyo alionekana kuwa mtulivu tofauti na miaka iliyopita, ambapo msanii huyo alikuwa na sifa ya kugombanisha warembo, lakini kwa sasa amekuwa na aina mpya ya kubadilisha wasichana kila...
10 years ago
Vijimambo12 Feb
Lady Jaydee ataja sifa za mpenzi mpya
![](http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2621644/highRes/944083/-/maxw/600/-/al5lyfz/-/lady+jaydee+picha.jpg)
Jaydee alitaja sifa za mpenzi huyo na kuweka wazi kwamba anataka mtu ambaye atamheshimu na kumtunzia utu wake.“Anayejali na kuheshimu, mwenye roho ya upendo na huruma...
5 years ago
BBCSwahili20 Feb
Mwanamziki Diamond Platnumz na mpenzi wake waachia nyimbo mpya
9 years ago
Bongo502 Oct
Picha: Siwema wa Nay wa Mitego aanza maisha na mpenzi mpya
10 years ago
Bongo502 Sep
Picha: Wastara kuwa mpenzi wa JB ndani ya filamu mpya ‘Mzee wa Swaga’
10 years ago
Mtanzania27 Mar
Lil Wayne amtangaza Christina Milian kuwa mpenzi wake mpya
BADI MCHOMOLO NA MTANDAO
BOSI wa kundi la Young Money, Lil Wayne, amemuweka wazi mpenzi wake mpya, Christina Milian, ambaye ni mmoja wa wanachama wa kundi hilo analoliongoza.
Baada ya kuweka wazi habari hiyo, Wayne kupitia mtandao wa Twitter, aliandika, “Samahani kwa kusubiri muda mrefu kujua nini kinaendelea, kwa sasa hakuna tena maswali nikiwa na Christina, huyu ni mpenzi wangu.”
Wayne ni baba wa watoto watano, na sasa yeye, mpenzi wake huyo na mtoto wake wa kwanza, Regina aliyezaa na mama...
10 years ago
Bongo Movies05 Feb
Baada ya Kupigana Chini na Bushoke, Jini Kabula Amutambulisha Mpenzi Wake Mpya!!
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ ambae hivi karibuni aliripotiwa kuachana na mkali wa Bongo Fleva, Ruta Maxmilian Bushoke ambae alikuwa mpenzi wake wa muda mrefu.
Hivi majuzi Jini Kabula alitupia picha mtandaoni, akiwa na jamaa katika pozi la kimahaba huku macho yake ameyalegeza kama inavyo onekana hapo juu, na kuandika maneno ya kumtambulisha huyo jamaa kuwa ndie mpenzi wake.
“With my beiby...morning TANZANIA...” Kabula aliandika.
Mashabiki wake walimpongeza...