Mwanamziki Diamond Platnumz na mpenzi wake waachia nyimbo mpya
Mwanamziki Diamond Platnumz na mpenzi wake Tanasha Donna wamezindua video ya kibao chao kipya kwa jina ' Gere'.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog01 Feb
Diamond Platnumz atua na mpenzi wake Zari mjini Songea
Mwanamuziki Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wakiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea tayari kwa kufanya onesho kubwa kwenye sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofanyika kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea leo ambapo viongozi mbalimbali wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Dr. Jakaya Kikwete.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-SONGEA).
Diamond Platnumz akiongozana na mpenzi wake Zari wakiondoka kwenye uwanja wa ndege wa Songea kuelekea hotelini.
Mkuu wa wilaya ya...
10 years ago
Dewji Blog12 Mar
Hatimaye Linex aachia wimbo wake mpya ‘Salima’ akimshirikisha Diamond Platnumz, usikilize hapa
Pichani ni Linex na Diamond Platnumz wakati wa utengenezaji wa video ya ‘Salima’.
Linex akimshirikisha Diamond Platnumz katika wimbo wake mpya Salima ambao leo hii ameuachia katika media mbalimbali. Video na audio ametoa kwa pamoja, Linex anaonekana kutulia sana katika wimbo huu, kama kawaida yake ametumia lugha 3 ndani ya wimbo, amepanga mashairi mazito yenye hisia hakika wimbo upo sawa, na utunzi na ghani za mashairi yamepangiliwa katika ubora wa aina yake, lugha imetumika kihufasaha ...
11 years ago
Bongo523 Jul
Alikiba aweka wazi chanzo cha beef kati yake na Diamond, akiri yeye ni shabiki wa nyimbo za Platnumz lakini….!
9 years ago
Bongo523 Nov
Diamond hana mpango wa kufanya nyimbo za Kiingereza – Asema meneja wake Babu Tale
![mondi bin awards](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/mondi-bin-awards-300x194.jpg)
Muziki ni lugha ya dunia, ndio sababu kuna wanamuziki wengi wanaimba lugha za kwao lakini bado wanafanya vizuri katika nchi nyingine zisizoongea lugha hizo.
Diamond Platnumz ametokea kuwa balozi mzuri wa lugha ya Kiswahili, kwasababu mafanikio aliyonayo sasa ya kufanya vizuri ndani na nje ya Afrika yametokana na nyimbo za Kiswahili alizotoa hadi sasa.
Baada ya kugundua kuwa kinachoweza kusababisha wimbo upendwe kimataifa sio lugha, hit maker huyo wa ‘Nana’ hana mpango kabisa wa kurekodi...