Picha: Wastara kuwa mpenzi wa JB ndani ya filamu mpya ‘Mzee wa Swaga’
Jacob Stephan na Wastara Juma wameingia mzigoni kushoot filamu mpya iitwayo ‘Mzee wa Swaga’ ambapo ndani ya filamu hiyo Wastara ni mpenzi wa JB. Wastara akiwa na JB katika filamu mpya ya Mzee wa Swaga Wastara ameiambia Bongo5 kuwa filamu hiyo iliyo chini ya kampuni ya Jerusalem film itahusisha mastaa mbalimbali katika tasnia hiyo. “Tupo […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies10 Jan
Mzee wa swaga:JB,Cassie Kabwita,Wastara,Wellu Sengo,Thea na Mike Ndani
Tegemea mzigo huu mpya unaokwenda kwajina la “Mzee wa Swage”kosa la defence...ni goli, Iliyotengenezwa na Shikamoo Mzee na Danija Jerusalem Film.
Wakali kama, JB,Cassie Kabwita,Wastara,Wellu Sengo,Thea na Mike wameshiriki kwenye filamu hii ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni na itasambazwa na kampuni ya Stesps Entertainment.
Hii sio yakukosa madau!!!
10 years ago
Bongo531 Jan
Picha: Zari ndani ya Dar, athibitisha kwa mara ya kwanza kwa kauli yake kuwa mpenzi wa Diamond
10 years ago
Bongo Movies03 Feb
Jerusalem Films Kuja na Chale Mvuvi Baada ya Mzee wa Swaga, Hadji Adam, Shamsa Ford na Wakali Wengine wa Zanzibari Ndani!!
Mkurugezi wa kampuni ya utengenezaji wa filamu ya Jerusalem Films, Jacob Stephen ‘JB’ambae pia ni muigizaji na muongozaji wa filamu, amewaeleza mashabiki wake kuwa wakae mkao wa kula kwani baada ya wiki iliyopita kuingiza movie ya Mzee wa Swaga sokoni, sasa hivi wapo katika maandalizi ya kutoa movie nyingine mwezi ujao.
"Asanteni sana wadau wa Jerusalem films kwa kuipokea vyema Mzee wa Swaga. sasa tunajiandaa kuwaletea movie nyingine inaitwa CHARLE MVUVI : Waigizaji:Hadji Adam,Shamsa...
10 years ago
Bongo526 Feb
Filamu mpya ya JB ‘Mzee wa Swagga’ ni kopi 100% ya filamu ya kihindi
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-MR5NliRr-gM/VMJScMBy5rI/AAAAAAAG_J0/4sWO5j4TsT8/s72-c/unnamed%2B(38).jpg)
Nikiri kuwa ni makosa kutafsiri Filamu bila idhini ya mmiliki —Mzee Lufufu
![](http://1.bp.blogspot.com/-MR5NliRr-gM/VMJScMBy5rI/AAAAAAAG_J0/4sWO5j4TsT8/s1600/unnamed%2B(38).jpg)
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mukandala Lufufu inayojishughulisha na kazi ya kutafsiri Filamu kwa Lugha ya Kishwahili Bw. Derick Mukandala maarufu kwa jina la Mzee Lufufu (pichani kulia) amekiri kuwa kazi yake anaifanya kienyeji ili hali akifahamu ni makosa.
Kauli hiyo ameitoa leo katika kikao baina yake na Bodi ya Filamu ambapo alieleza kuwa amekuwa akifanya kazi hiyo kwa muda mrefu bila kuzingatia utaratibu huku akijua kuwa ni makosa kwa mtu kutumia kazi ya msanii...
10 years ago
Mwananchi25 Nov
JB bonge la bwana Kufunga mwaka na ‘Mzee wa Swaga’
9 years ago
Bongo502 Oct
Picha: Siwema wa Nay wa Mitego aanza maisha na mpenzi mpya
10 years ago
Bongo Movies26 Feb
Mzee wa Swaga: Zamaradi Amuumbua JB Kwaku-Copy na Ku-Paste!!
Mwigizaji na mwongozaji wa filamu mkubwa hapa Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ hivi juzi kati amekumbana na kashfa nzito ya kugeza moja ya filamu ya kutoka India ‘Bollywood’.
Filamu ya JB inayokwenda kwa jina la Mzee wa Swaga ambayo inafanya vizuri sokon hivi sasa inadaiwa kuwa ni “Copy and Paste” ya filamu moja maarufu kutoka Bollywood inayofahamika kwa jina la "Ladies VS Ricky Bahl".
Akizungumza kupitia kipindi cha take one, Zamaradi Mketema amethibitisha usanii huo uliofanyika na kampuni...
10 years ago
Bongo Movies27 Feb
Uwanja wa Mashabiki: Saga la Ladie Vs Ricky Bahl Vs Mzee wa Swaga
Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki mitandaoni kuhusiana na SAGA la Ladies Vs Ricky Bahl Vs Mzee wa Swaga walioziona zote mbili.
Inasikitisha sana kama wasanii wetu wanaweza kufanya uhuni huu na kutuaminisha watanzania kwamba wametunga wao.
Binafsi nimeangalia muvi ya Ladie Vs Ricky Bahl mwaka 2011 na ni moja kati ya movie ya kihindi niliyoipenda kutokana na maudhui yaliyo kwenye movie hiyo.
Ricky Bahl alicheza kama Conman mtaalam aliyekuwa anawalaghai wadada mbalimbali kwa mapenzi ya dhati...