Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JB bonge la bwana Kufunga mwaka na ‘Mzee wa Swaga’

Anaigiza, anawaachia nafasi wengine akiwa nyuma ya kamera, anachekesha anapotakiwa kufanya hivyo, ni mnene wa mwili lakini mwongozaji wa filamu akimwamuru kukimbia hana budi kufanya hivyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SWAGA ZILIKUWA ZAMANI BWANA!

Maendeleo yameua swaga nakwambia. Watu siku hizi wanajidaiii eti wana swaga, aa wapi! swaga zilikuwa zamani bwana. Enzi hizo za redio moja, mtu ukitoka kijijini na kuweza kuja kukaa mjini hata wiki moja tu, ukirudi unajikuta wewe ndiye mjanja wa kijijini, na kama ulibahatika kuja jiji la Dar es Salaam, basi watu wote wanakusikiliza wewe. Unavyowahadithia jinsi ulivyopanda basi la ghorofa, au hata ulivyoibiwa mara baada ya kushuka...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Sis P — Bonge la Bwana

Wimbo mpya wa msanii Sis P unaitwa “Bonge la Bwana”. Studio Amillion Records Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo Movies

Mzee wa Swaga: Zamaradi Amuumbua JB Kwaku-Copy na Ku-Paste!!

Mwigizaji na mwongozaji wa filamu mkubwa hapa Bongo, Jacob Stephen ‘JB’  hivi juzi kati amekumbana na kashfa nzito ya kugeza moja ya filamu ya kutoka India ‘Bollywood’.

Filamu ya JB inayokwenda kwa jina la Mzee wa Swaga ambayo inafanya vizuri sokon hivi sasa inadaiwa kuwa ni “Copy and Paste” ya  filamu moja maarufu kutoka Bollywood inayofahamika kwa jina la "Ladies VS Ricky Bahl".

Akizungumza kupitia kipindi cha take one, Zamaradi Mketema amethibitisha usanii huo uliofanyika na kampuni...

 

10 years ago

Bongo Movies

Uwanja wa Mashabiki: Saga la Ladie Vs Ricky Bahl Vs Mzee wa Swaga

Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki mitandaoni kuhusiana na SAGA la Ladies Vs Ricky Bahl Vs Mzee wa Swaga  walioziona zote mbili.

Inasikitisha sana kama wasanii wetu wanaweza kufanya uhuni huu na kutuaminisha watanzania kwamba wametunga wao.
Binafsi nimeangalia muvi ya Ladie Vs Ricky Bahl mwaka 2011 na ni moja kati ya movie ya kihindi niliyoipenda kutokana na maudhui yaliyo kwenye movie hiyo.
Ricky Bahl alicheza kama Conman mtaalam aliyekuwa anawalaghai wadada mbalimbali kwa mapenzi ya dhati...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bonge la Bwana kuzindua ‘Nyongo mkalia ini’

MSANII nyota wa muziki wa taarabu nchini wa  Kundi la Kings Modern Taarab, Hassani Ally ‘Bonge la Bwana’, anatarajia kuzindua albamu yake mpya ya ‘Nyongo mkalia ini’ iliyobeba nyimbo tano....

 

9 years ago

Bongo5

Music: Sis P Ft Barnaba – Bonge la Bwana Remix

Mwanadada Sis P ameachiwa Remix ya wimbo wake wa “Bonge la Bwana”. Amemshirikisha Barnaba Boy, Producer Khalidi

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Wastara kuwa mpenzi wa JB ndani ya filamu mpya ‘Mzee wa Swaga’

Jacob Stephan na Wastara Juma wameingia mzigoni kushoot filamu mpya iitwayo ‘Mzee wa Swaga’ ambapo ndani ya filamu hiyo Wastara ni mpenzi wa JB. Wastara akiwa na JB katika filamu mpya ya Mzee wa Swaga Wastara ameiambia Bongo5 kuwa filamu hiyo iliyo chini ya kampuni ya Jerusalem film itahusisha mastaa mbalimbali katika tasnia hiyo. “Tupo […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Mzee wa swaga:JB,Cassie Kabwita,Wastara,Wellu Sengo,Thea na Mike Ndani

Tegemea mzigo huu mpya unaokwenda kwajina la  “Mzee wa Swage”kosa la defence...ni goli, Iliyotengenezwa na Shikamoo Mzee na Danija Jerusalem Film.

Wakali  kama, JB,Cassie Kabwita,Wastara,Wellu Sengo,Thea na  Mike wameshiriki kwenye filamu hii ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni na itasambazwa na kampuni ya Stesps Entertainment.

Hii sio yakukosa madau!!!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani