Music: Sis P Ft Barnaba – Bonge la Bwana Remix
Mwanadada Sis P ameachiwa Remix ya wimbo wake wa “Bonge la Bwana”. Amemshirikisha Barnaba Boy, Producer Khalidi
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Oct
Music: Sis P — Bonge la Bwana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/lkbXJkmCF_Y/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
Bonge la Bwana kuzindua ‘Nyongo mkalia ini’
MSANII nyota wa muziki wa taarabu nchini wa Kundi la Kings Modern Taarab, Hassani Ally ‘Bonge la Bwana’, anatarajia kuzindua albamu yake mpya ya ‘Nyongo mkalia ini’ iliyobeba nyimbo tano....
10 years ago
Mwananchi25 Nov
JB bonge la bwana Kufunga mwaka na ‘Mzee wa Swaga’
10 years ago
Bongo Movies17 Dec
Bonge La Bwana “JB” On Set Kwa Movie Mpya-KALAMBATI LOBO
Mwigizaji na muongozaji nguli wa filamu hapa Bongo, Jacob Stephen aka JB, ameonekana akiwa “On Set”aki-shoot filamu yake mpya ambayo inakwenda kwa jina la KALAMBA LOBO ambayo hakufafanua inatoka lini.
JB ambae pia ni mkurugenzi wa kampuni ya utengenezaji wa filamu ya Jerusalem Film Company ambayo ndio inategeneza filamu hiyo alitupia mtandaoni picha hizo hapo juu na kuandika.
“New Movie. Kalambati Lobo.On Set”
Tuendelee kuisubiri!!!!
10 years ago
Bongo508 Apr
10 years ago
Bongo516 Mar
New Music: Darasa Ft. Barnaba — Cinderella