Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bonge La Bwana “JB” On Set Kwa Movie Mpya-KALAMBATI LOBO

Mwigizaji na muongozaji nguli wa filamu hapa Bongo, Jacob Stephen aka JB, ameonekana akiwa “On Set”aki-shoot filamu yake mpya ambayo inakwenda kwa jina la  KALAMBA LOBO ambayo hakufafanua inatoka lini.

 JB ambae pia ni mkurugenzi wa kampuni ya utengenezaji wa filamu ya Jerusalem Film Company ambayo ndio inategeneza filamu hiyo alitupia mtandaoni picha hizo hapo juu na kuandika.

“New Movie. Kalambati Lobo.On Set”

Tuendelee kuisubiri!!!!

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Music: Sis P — Bonge la Bwana

Wimbo mpya wa msanii Sis P unaitwa “Bonge la Bwana”. Studio Amillion Records Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

Video: Irene Uwoya na Rich wapigana denda live kwenye set ya movie mpya

Kama mpenzi wako ana ndoto za kuwa muigizaji wa filamu za hapa Tanzania, huenda ukabadilisha mawazo yako ukiona video hii ya Irene Uwoya na Single Mtambalike aka Rich wakibadilishana mate kwenye scene ya filamu yao mpya.

 

10 years ago

Mwananchi

JB bonge la bwana Kufunga mwaka na ‘Mzee wa Swaga’

Anaigiza, anawaachia nafasi wengine akiwa nyuma ya kamera, anachekesha anapotakiwa kufanya hivyo, ni mnene wa mwili lakini mwongozaji wa filamu akimwamuru kukimbia hana budi kufanya hivyo.

 

9 years ago

Bongo5

Music: Sis P Ft Barnaba – Bonge la Bwana Remix

Mwanadada Sis P ameachiwa Remix ya wimbo wake wa “Bonge la Bwana”. Amemshirikisha Barnaba Boy, Producer Khalidi

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bonge la Bwana kuzindua ‘Nyongo mkalia ini’

MSANII nyota wa muziki wa taarabu nchini wa  Kundi la Kings Modern Taarab, Hassani Ally ‘Bonge la Bwana’, anatarajia kuzindua albamu yake mpya ya ‘Nyongo mkalia ini’ iliyobeba nyimbo tano....

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA TAWI LA CCM NY BWANA SELF AKIDA AENDA KUTOA POLE NYUMBANI KWA BWANA KIBODYA.


Nyumbani kwa Bwana Isaac Kibondya akiongea na watu walioenda kumpa pole nyumbani kwake baada ya kufiwa na mkwe wake, Kifo kimetokea huko Tanzania siku ya Tarehe July, 16. Marehemu ni mzazi wa Mke wa Bwana Kibodya na Kama inakumbukwa wote walikuwa Tanzania kumuona marehemu akiwa anaumwa mwezi uliopita.
Mwenyekiti wa tawi la CCM New York bwana Seif Akida pamoja na Ny Ebra wote kutoka New York wakiwa nyumbani kwa bwana Kibodya Vail, Springfield. MA kutoa pole.




 

11 years ago

Tanzania Daima

Kipato, mavazi, changamoto kuu kwa uongozi mpya Bongo Movie

JANUARI 5, mwaka huu Klabu ya waigizaji ya Bongo Movie ilifanya uchaguzi wake wa kupata viongozi wapya watakaoiongoza  kwa mwaka mzima wa 2014 kama katiba yao inavyotamka. Katika uchaguzi huo...

 

11 years ago

GPL

NISHA BWANA MPYA, GARI MPYA

Mwaka huu umekuwa wa mafanikio kwa msanii wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ kutokana na kuvuta ndinga mpya na huku akidaiwa kutoka na mwanaume mpya. Msanii wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’. Kikizungumza na Ijumaa, chanzo ambacho ni jarani wa msanii huyo kilisema licha ya Nisha kuendesha mkoko huo aina ya Toyota Harrier, sasa anatoka na mwanaume mwingine ambaye mara kadhaa wamekuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani