Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NISHA BWANA MPYA, GARI MPYA

Mwaka huu umekuwa wa mafanikio kwa msanii wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ kutokana na kuvuta ndinga mpya na huku akidaiwa kutoka na mwanaume mpya. Msanii wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’. Kikizungumza na Ijumaa, chanzo ambacho ni jarani wa msanii huyo kilisema licha ya Nisha kuendesha mkoko huo aina ya Toyota Harrier, sasa anatoka na mwanaume mwingine ambaye mara kadhaa wamekuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LICHA YA KUPATA BWANA MPYA; JOHARI: SIACHANI NA RAY!

Brighton masalu SIKU chache baada ya kupenyezwa kwa madai ya kupata bwana mpya, staa wa filamu Bongo, Blandina William Chagula ‘Johari’ ameibuka na kuweka wazi kuwa kamwe hafikirii wala hana mpango wa kuachana na msanii mwenzake, Vincent Kigosi ‘Ray’ katika masuala ya kazi.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1hc3MTZ

 

10 years ago

GPL

NISHA AMFUATA BWANA CHINA

Gladness Mallya na Hamida Hassan
WAKATI Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ukielekea ukingoni, staa wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amekwea pipa kuelekea nchini China akidaiwa kumfuata bwana wake kwa ajili ya kwenda kufanya maandalizi ya Sikukuu ya Idd. Staa wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’. Chanzo makini kililiambia gazeti hili kwamba mwanadada huyo kwa sasa amepata mpenzi ambaye makazi yake yapo...

 

9 years ago

Bongo Movies

Sajent na Nisha Wamgombea Bwana

WAIGIZAJI wa filamu Bongo, Husna Iddi ‘Sajent’ na mwenzake Salima Jabu ‘Nisha’ wanadaiwa kuwa katika ugomvi mkubwa kumgombea msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Barakah Andrew ‘Barakah Da Prince’

Chanzo makini kilicho karibu na wasanii hao kinasema Sajenti ndiye aliyeingilia kati penzi la wawili hao baada ya ujumbe wake wa simu kukutwa katika simu ya mkali huyo wa Bongo Fleva ambaye amekuwa katika uhusiano na Nisha kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.

“Kuna siku Nisha alifuma meseji kwenye simu ya...

 

11 years ago

GPL

NISHA AMNADI BWANA’KE

Na Chande Abdallah MSANII wa filamu anayefanya poa na muvi yake ya Zena na Betina, Salma Jabu ‘Nisha’ amemnadi bwana’ake anayejulikana kwa jina la Fahad baada ya kuweka picha kwenye ukurasa wake wa Facebook akiwa amejichora ‘Mrs Fahad.’ Supastaa wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’. Akizungumza na mwandishi wetu, Nisha alisema kuwa hawezi kuzungumza chochote kuhusiana na mchoro...

 

10 years ago

Bongo Movies

Bonge La Bwana “JB” On Set Kwa Movie Mpya-KALAMBATI LOBO

Mwigizaji na muongozaji nguli wa filamu hapa Bongo, Jacob Stephen aka JB, ameonekana akiwa “On Set”aki-shoot filamu yake mpya ambayo inakwenda kwa jina la  KALAMBA LOBO ambayo hakufafanua inatoka lini.

 JB ambae pia ni mkurugenzi wa kampuni ya utengenezaji wa filamu ya Jerusalem Film Company ambayo ndio inategeneza filamu hiyo alitupia mtandaoni picha hizo hapo juu na kuandika.

“New Movie. Kalambati Lobo.On Set”

Tuendelee kuisubiri!!!!

 

9 years ago

Bongo5

Rita Ora ana ‘bwana’ mpya, ni huyu jamaa (Picha)

Kuna couple mpya nchini Marekani. Imebainika kuwa Rita Ora na mpiga drums maarufu, Travis Barker wana uhusiano wa kimapenzi. Wawili hao walikutana kwa mara ya kwanza kwenye mechi ya kikapu ya mastaa iliyoandaliwa Power 106 wiki chache zilizopita huko Los Angeles. “Me and the beautiful @ritaora at @power_106 #Power106AllStars,” Barker aliandika kwenye picha aliyoweka Instagram […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Hizi salamu za heri ya mwaka mpya toka kwa Nisha na Zamaradi zinatuhusu sote

Tukiwa tumebakiza siku chache tu kabla ya kumalizika kwa mwaka 2014. Mastaa hawa wawili toka tasnia ya filamu nchini wametoa salamu hizi za mwisho wa mwaka ambazo zinamhusu kila mtu. Ukitafakari vizuri na kuamua kufanyia kazi yaliyosema linaweza kuwa jambo la maana sana kwako.

 

Salma Jabu - Nisha

 

"Kila binaadam anaijua leo kesho haijui,tumebakisha siku chache inshaallah mwaka uishe,sijui km ntafika au sifiki. Kikubwa leo hii ambayo nimeiona naomba nichukue fursa hii kumuomba msamaha...

 

10 years ago

Michuzi

JAJI BWANA NDIYE MWENYEKITI MPYA BARAZA LA CHUO KIKUU HA BAGAMOYO (UB)



Na Mwandishi Wetu

BODI ya Wadhamini ya Chuo Kikuu Cha Bagamoyo (UB), imemteua  Jaji wa Mahakama ya Rufaa nchini, Dk.Stephen Bwana Kuwa Mwenyekiti mpya wa Baraza la chuo hicho.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Bagamoyo(UB), Mikocheni Dar Es Salaam, Dk.William Kudoja alisema  Bodi ya Wadhamini ya chuo hicho ambayo Inaongozwa na Professa Paramaganda Kabudi Ndiyo ilimteua Jaji Bwana kushika wadhifa huo mpya baada ya kuona Ana sifa za vigezo Vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani