NISHA AMNADI BWANA’KE
![](http://api.ning.com:80/files/oszb1oYwZCm1*EQtJ22XeONN0o5kb8C2zJ7yBy62FLTOepbU9MId*-123CXesMvT6MCMlUz5GE97R-g9Y34OA-LgoN-gKUKt/1copy.jpg?width=650)
Na Chande Abdallah MSANII wa filamu anayefanya poa na muvi yake ya Zena na Betina, Salma Jabu ‘Nisha’ amemnadi bwana’ake anayejulikana kwa jina la Fahad baada ya kuweka picha kwenye ukurasa wake wa Facebook akiwa amejichora ‘Mrs Fahad.’ Supastaa wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’. Akizungumza na mwandishi wetu, Nisha alisema kuwa hawezi kuzungumza chochote kuhusiana na mchoro...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wdk-9Zfi1k7zokD6z9IqXGcm7lQk-PZU8C56ZA15Ggxf11dCb4n6JhdgpsnUqyX0ja8e3q7p8NQrpfVZfW99Yl28cvsELw2S/BACKIJUMAA.gif?width=650)
NISHA AMFUATA BWANA CHINA
9 years ago
Bongo Movies19 Nov
Sajent na Nisha Wamgombea Bwana
WAIGIZAJI wa filamu Bongo, Husna Iddi ‘Sajent’ na mwenzake Salima Jabu ‘Nisha’ wanadaiwa kuwa katika ugomvi mkubwa kumgombea msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Barakah Andrew ‘Barakah Da Prince’
Chanzo makini kilicho karibu na wasanii hao kinasema Sajenti ndiye aliyeingilia kati penzi la wawili hao baada ya ujumbe wake wa simu kukutwa katika simu ya mkali huyo wa Bongo Fleva ambaye amekuwa katika uhusiano na Nisha kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.
“Kuna siku Nisha alifuma meseji kwenye simu ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BY6VWIVrp20yuC9-AHiIbAzNOh5Kx6SasA*LUMNoc*zFos2I-sZGppWlORJBiU32eLztQoOW-V*Z08WvdO0Mo7y-1ADsn*i3/nisha.jpg)
NISHA: MH! ETI NINA MIMBA, WATU BWANA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9OHZWcwyRAT8GpvbD6zRRknefWFAk1J4nQMzBF-HNjv3koC*vMLY2SwFkbLoS6sfYXn2giPb1P5b7LHGKGwFOnfsqsE67tJ9/nisha.jpg?width=650)
NISHA BWANA MPYA, GARI MPYA
10 years ago
VijimamboMWENYEKITI WA TAWI LA CCM NY BWANA SELF AKIDA AENDA KUTOA POLE NYUMBANI KWA BWANA KIBODYA.
Nyumbani kwa Bwana Isaac Kibondya akiongea na watu walioenda kumpa pole nyumbani kwake baada ya kufiwa na mkwe wake, Kifo kimetokea huko Tanzania siku ya Tarehe July, 16. Marehemu ni mzazi wa Mke wa Bwana Kibodya na Kama inakumbukwa wote walikuwa Tanzania kumuona marehemu akiwa anaumwa mwezi uliopita.
Mwenyekiti wa tawi la CCM New York bwana Seif Akida pamoja na Ny Ebra wote kutoka New York wakiwa nyumbani kwa bwana Kibodya Vail, Springfield. MA kutoa pole.
10 years ago
Mwananchi24 Dec
Tibaijuka: Bwana alitoa, bwana ametwaa
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
Wassira amnadi mgombea Nyasura
SIKU chache baada ya kikundi cha wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupinga mgombea udiwani wa Kata ya Nyasura, wilayani Bunda, Julius Magambo Wassira (CHADEMA) si mtoto anayezaliwa katika ukoo...
9 years ago
CCM Blog![](http://4.bp.blogspot.com/-3_2gIqfCH8g/VigSH5780cI/AAAAAAAAqVA/lMDqjHT3BxQ/s72-c/IMG_07741.jpg)
KINANA AMNADI NAMELOK MONDULI
![](http://4.bp.blogspot.com/-3_2gIqfCH8g/VigSH5780cI/AAAAAAAAqVA/lMDqjHT3BxQ/s640/IMG_07741.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-s8OHHKgkhHA/VigSIoFE2mI/AAAAAAAAqVE/pUFhEfSbldo/s640/IMG_07811.jpg)
Katibu Mkuu ameendelea pia kumuombea kura mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli na kumueleza ni kiongozi mchapakazi...