SWAGA ZILIKUWA ZAMANI BWANA!
![](http://api.ning.com:80/files/uw8ZJ9XBTbXXKJP**EfQMBFurTj2RCRjzBtJjc7L9tGIijxWixTWV0XBmxwHntbK7BPbSx3VnHRzy9RDFKFRoHjh-XLmNJA*/CHEKANAKITIME.jpg)
Maendeleo yameua swaga nakwambia. Watu siku hizi wanajidaiii eti wana swaga, aa wapi! swaga zilikuwa zamani bwana. Enzi hizo za redio moja, mtu ukitoka kijijini na kuweza kuja kukaa mjini hata wiki moja tu, ukirudi unajikuta wewe ndiye mjanja wa kijijini, na kama ulibahatika kuja jiji la Dar es Salaam, basi watu wote wanakusikiliza wewe. Unavyowahadithia jinsi ulivyopanda basi la ghorofa, au hata ulivyoibiwa mara baada ya kushuka...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi25 Nov
JB bonge la bwana Kufunga mwaka na ‘Mzee wa Swaga’
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Fid Q: Video zangu zilikuwa dhaifu
MKALI wa muziki wa hiphop nchini, Farid Kubanda ‘Fid Q’ amesema amegundua kuwa katika nyimbo zake anazotoa anakuwa na mapungufu upande wa video. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Fid...
10 years ago
VijimamboMWENYEKITI WA TAWI LA CCM NY BWANA SELF AKIDA AENDA KUTOA POLE NYUMBANI KWA BWANA KIBODYA.
Nyumbani kwa Bwana Isaac Kibondya akiongea na watu walioenda kumpa pole nyumbani kwake baada ya kufiwa na mkwe wake, Kifo kimetokea huko Tanzania siku ya Tarehe July, 16. Marehemu ni mzazi wa Mke wa Bwana Kibodya na Kama inakumbukwa wote walikuwa Tanzania kumuona marehemu akiwa anaumwa mwezi uliopita.
Mwenyekiti wa tawi la CCM New York bwana Seif Akida pamoja na Ny Ebra wote kutoka New York wakiwa nyumbani kwa bwana Kibodya Vail, Springfield. MA kutoa pole.
10 years ago
Mwananchi24 Dec
Tibaijuka: Bwana alitoa, bwana ametwaa
5 years ago
BBCSwahili12 Jun
Thomas Thabane: Waziri Mkuu wa zamani wa Lesotho 'alilipa majambazi kumuua mke wake wa zamani''
10 years ago
Bongo Movies26 Feb
Mzee wa Swaga: Zamaradi Amuumbua JB Kwaku-Copy na Ku-Paste!!
Mwigizaji na mwongozaji wa filamu mkubwa hapa Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ hivi juzi kati amekumbana na kashfa nzito ya kugeza moja ya filamu ya kutoka India ‘Bollywood’.
Filamu ya JB inayokwenda kwa jina la Mzee wa Swaga ambayo inafanya vizuri sokon hivi sasa inadaiwa kuwa ni “Copy and Paste” ya filamu moja maarufu kutoka Bollywood inayofahamika kwa jina la "Ladies VS Ricky Bahl".
Akizungumza kupitia kipindi cha take one, Zamaradi Mketema amethibitisha usanii huo uliofanyika na kampuni...
10 years ago
Bongo Movies26 Feb
Vijimambo:Hizi Swaga za JB Mtandaoni Kujibu Mapigo ya Zamaradi
Kama mnavyojua tena habari ya MUJINI kwenye tasnia hii ya filamu ni hii ya Copy and Paste ya Mzee wa Swaga kutoka kwa Ladies VS Ricky Bahl akutoka Hollywood.
Hili lilipamba moto baada ya mtagazaji Zamaradi Mtetema kuchana wazi wazi kwnye kipindi chake cha TAKE ONE kuwa kampuni ya Jerusalem imefanya kuiga filamu hiyo ya kihindi kwa asilimia karibu zote.
Sasa haya ni baadhi ya maneno na swaga ambazo JB ambae ndio mtunzi, mwongozaji na muigizaji mkuu wa filamu hiyo amekuwa akizitupia...
10 years ago
Bongo Movies27 Feb
Uwanja wa Mashabiki: Saga la Ladie Vs Ricky Bahl Vs Mzee wa Swaga
Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki mitandaoni kuhusiana na SAGA la Ladies Vs Ricky Bahl Vs Mzee wa Swaga walioziona zote mbili.
Inasikitisha sana kama wasanii wetu wanaweza kufanya uhuni huu na kutuaminisha watanzania kwamba wametunga wao.
Binafsi nimeangalia muvi ya Ladie Vs Ricky Bahl mwaka 2011 na ni moja kati ya movie ya kihindi niliyoipenda kutokana na maudhui yaliyo kwenye movie hiyo.
Ricky Bahl alicheza kama Conman mtaalam aliyekuwa anawalaghai wadada mbalimbali kwa mapenzi ya dhati...
10 years ago
Bongo502 Sep
Picha: Wastara kuwa mpenzi wa JB ndani ya filamu mpya ‘Mzee wa Swaga’