Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Belle 9 ahamishia rasmi makazi yake jijini Dar, azitaja sababu zilizomuhamisha kwao Morogoro

Wasanii wengi wa muziki waliopo Dar wametoka mikoani, na ukijaribu kuwauliza sababu za kuhamia Dar hata kama mikoa wanayotoka kuna studio nyingi za kurekodi pamoja na vituo vya radio, wengi wao hutoa sababu za kuja karibu na connection muhimu za media, studio, na wadau muhimu wa muziki. Upande wa Belle 9 sababu hizo hazikumshawishi kwa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Louis van Gaal azitaja sababu za kutaka kumtema Victor Valdes

Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal anaonekana kumwonyesha mlango wa kutokea Old Trafford mlinda mlango, Victor Valade baada ya kuonekana hana nidhamu. Louis van Gaal akiongea na waandishi wa habari nchini Marekani Kocha huyo alibainisha kuwa Valdes alikataa kuichezea timu ya pili msimu uliopita. Anadai kuwa Valdes ameshindwa kuendana na falsafa zake ndani ya […]

 

9 years ago

GPL

YVONNE NELSON AHAMISHIA MAPENZI YAKE KWA MUNGU

Mwigizaji Yvonne Nelson wa Ghana. MWIGIZAJI Yvonne Nelson wa Ghana ambaye aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwimbaji Iyanya wa Nigeria, na baadaye uhusiano wao huo ukavunjika na kumwacha na kile alichokisema majonzi makubwa, amesema amempata mpenzi wake mpya ambaye ni Mungu. Mwigizaji huyo mrembo alisema majuzi: “Mapenzi yangu ya siku nyingi yako kwa Mungu, ambaye amekuwa upande wangu katika furaha na… ...

 

10 years ago

Michuzi

SAFARI LAGER YAZINDUA RASMI PROGAMU YAKE YA “SAFARI LAGER WEZESHWA” KWA MSIMU 4 JIJINI DAR LEO

Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa programu ya Safari Wezeshwa msimu wa nne uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Jaji wa programu hiyo, Joseph Migunda. Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akiwaonyesha kipeperushi kinachoonyesha kitika cha shilingi 2200,000 000/= zitakazogawiwa kwa wajasiliamali wakati wa uzinduzi wa programu ya Safari Wezeshwa msimu wa nne...

 

10 years ago

Michuzi

UP DATES: MSIBA WA BANZA STONE NYUMBANI KWAO SINZA JIJINI DAR

 Baadhi ya ndugu na jamaa wa Marehemu Ramadhan Massanja "Banza Stone" wakijadiliana jambo mchana huu, nyumbani kwao Sinza Lion, Jijini Dar es salaam.
Mawasiliano yakiendelea kupeana taarifa na ndugu wengine.

 

9 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI ENEO LA MAKAZI WATU MNYAMANI BUGURUNI JIJINI DAR

 Mazingira ya Pembezoni mwa Reli ya Mitaa ya Mnyamani Buguruni jijini Dar es Salaam ikiwa Dampo lipo hapo pamoja na mkusanyiko wa maji kwa sababu hayana kwa kuelekea. Wakazi wa maeneo haya wako hatarini kupata magonjwa ya mlipuko kutokana na maji yaliyotuama maeneo haya. Inawezekana kuwa na kiwanda cha uzalishaji wa Mbu na magonjwa ya mlipuko nkatika eneo la Mnyamani Buguruni bila shaka..... Maisha yanaenda ikiwa ni hatari endapo usafiri wa eneo hili wanapopita wananchi. Hii ni kwa usalama...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE YA KUWAKARIBISHA RASMI WASHIRIKI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 KIJIJI CHA MAKUMBUSHO JIJINI DAR, WAINGIA RASMI KAMBINI

 Bi. Sophia Mkazi na Mwenyeji wa Kijiji cha Kasanga Wilayani Kisalawe Mkoani Pwani akiwakaribisha wageni ambao ni Washiriki wa Shindano la mama shujaa wa Chakula kijijini huko katika sherehe ya  iliyofanyika Kijiji cha Makumbusho Jijini Dar es salaam Jana. ambapo Programu mzima itaoneshwa katika Runinga ya ITV kila Siku kuanzia Tarehe 2.08.2015-21.08.2015 kuanzia saa 12 Jioni. Bw. Godia Kaimu Mwenyekiti wa Kijiji cha Kasanga akiwakaribisha Washiriki wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA ATEMBELEA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI JIJINI DAR

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akimkaribisha Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing alipomtembelea ofisini kwake jana jijini Dar es salaam na kufanya mazungumzo ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na China katika masuala ya uendelezaji wa Ardhi na Mipango miji. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi (kulia) akimweleza Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing (kushoto) namna Wizara yake ...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA ATEMBELEA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI LEO JIJINI DAR

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akimkaribisha Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es salaam na kufanya mazungumzo ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na China katika masuala ya uendelezaji wa Ardhi na Mipango miji. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi (kulia) akimweleza Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing (kushoto) namna Wizara yake ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani