Serikali yakanusha uvumi uliokuwa umeenea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mavazi
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwa ofisini kwake.
Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo inapenda kuujulisha Umma kwamba kumekuwapo na upotoshwaji unaondelea katika mitandao ya kijamii hususan facebook, Instagram na WhatsApp ambapo sehemu ya upotoshaji huo imenukuliwa kama ifuatavyo “Wizara imetoa tamko kuwa kuanzia januari 2016 mavazi yote yasiyo stahiki ambayo hayaendani na mila na desturi zetu Wizara yangu na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi28 Dec
9 years ago
MichuziBODI YA MIKOPO YAKANUSHA TAARIFA ZINAZOENEA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII
AWAMU YA PILI YA WANAFUNZI WALIOPANGIWA MIKOPO KWA 2015/2016BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuutaarifu umma kuwa kuna taarifa zinazosambazwa na baadhi ya mitandao ya kijamii kuwa Bodi haitatoa mikopo kwa waombaji wapya kwa mwaka wa masomo 2015/2016. Taarifa hizo si za kweli na hivyo Bodi inauomba umma kuzipuuza.
Aidha, Bodi ya Mikopo inapenda kutoa taarifa kwamba hadi sasa imekwishawapangia mikopo jumla ya waombaji mikopo wenye...
11 years ago
Dewji Blog23 Jul
NHC yakanusha taarifa za upotashaji zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii na gazeti kuhusiana na Mkurugenzi wa Shirika hilo
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba NHC Bw. David Shambwe akisoma taarifa ya shirika hilo kukanusha taarifa zilizoandikwa na gazeti moja la kila siku na mitandao ya kijamii kuwa Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu Kyando ameundiwa zengwe na baadhi ya wabunge ili aondolewe katika shirika hilo, wanaofuaia katika picha ni Muungano Saguya Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Jamii, Bw. Martin Mdoe Mkuu wa Kitengo cha Sheria na Benedict Kilimba Mkurugenzi wa Uendeshaji Miliki
10 years ago
Michuzi07 Dec
Kanusho Kutoka Ofisi ya Mbunge na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa Kuhusu Uvumi Uliozagaa Kwenye Mitandao Mbalimbali ya Kijamii Kuwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa Kulazwa nchini Ujerumani.
Taarifa zilizoenea zinaeleza kuwa Lowassa, ambaye wakati wote wa Mkutano wa 15/16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano uliofanyika kwa wiki tatu, hakuwepo bungeni, amekuwa...
9 years ago
MichuziTAARIFA KWA UMMA KUHUSU TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KATIKA JESHI LA MAGEREZA KWENYE BAADHI YA MITANDAO YA KIJAMII
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwepo na tangazo kuhusu nafasi za ajira katika Jeshi la Magereza linalodaiwa kuwa limetolewa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza na kusambazwa kwenye baadhi ya Mitandao ya kijamii. Umma unajulishwa kuwa taarifa hizo siyo za kweli.
Jeshi la Magereza linapenda kuufahamisha umma kuwa ajira hutolewa na kutangazwa kupitia Vyombo vya Habari pamoja na tovuti ya Jeshi la Magereza ya www.magereza.go.tz
Hivyo, Jeshi la Magereza linawatahadharisha Wananchi wote...
5 years ago
MichuziSERIKALI YAKANUSHA UVUMI WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA KAMPASI YA SINGIDA KUHAMISHIWA DODOMA
9 years ago
Michuzi24 Dec
11 years ago
BBCSwahili06 Aug
Gumzo kwenye mitandao ya kijamii
11 years ago
MichuziMjadala kuhusu Mitandao ya kijamii kutoka Jamii Production
Mzee Emmanuel Muganda. Mtangazaji mkongwe aliyefanya kazi zaidi ya miaka 30 katika Idhaa za Sauti ya Amerika (VOA) na pia Denzel Musumba. Mmiliki wa Border Media Group ambaye kwa miaka mingi amekuwa akitangaza kupitia ...