Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marehemu Mzee SK George Mallya kuzikwa Maili-Sita Moshi Alhamisi Agosti 13, 2015

Marehemu Mzee SK George MallyaFamilia ya  Mallya inasikitika kutangaza kifo cha Mzee SK George Mallya aliyefariki kwenye hospitali ya KCMC siku ya Jumamosi tarehe 8 Agosti. Taarifa ya familia inaeleza kuwa marehemu  anatarajiwa kuzikwa siku ya Alhamisi tarehe 13 Agosti, nyumbani kwake Maili-Sita, Moshi, ambako mipango ya mazishi inafanywa kwa sasa.Marehemu Mzee SK George Mallya atakumbukwa kama mmoja wa wanajeshi shupavu wa Kings African Rifles (KAR) wa  Tanganyika Battalion nyakati za Vita...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA DIASPORA KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM KUANZA ALHAMISI AGOSTI 14, 2015 HOTELI YA SERENA

Tukielekea kukamilisha maandalizi ya kongamano la Diaspora litakalofanyika kesho tarehe 13 hadi 15 Agosti, 2015 napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru kwa kukubali mwaliko wetu wa kushiriki kongamano hilo na pia kuwakumbusha yafuatayo:

1. Kujiandaa kikamilifu kwa kupitia "brief concept Note" ya Kongamano hilo ambayo nimeambatanisha;
2. kupitia ratiba ya masuala yatakayojiri katika kongamano hilo ambayo pia nimeambatanisha; na 
3. kuhakikisha kuwa mmejiandikisha kushiriki kongamano hilo kupitia...

 

11 years ago

Michuzi

Ratiba ya mazishi ya marehemu mzee john fedha macha dar es salaam na moshi

Mazishi ya Mzee John Fedha Macha (pichani), Mfanyabiashara maarufu na mmiliki wa Bamboo Bar ya Kinondoni (jirani na makaburi ya Kinondoni)  jijini Dar es salaam, ambaye alifariki dunia Jumatatu Julai 21,  2014 katika hospitali ya TMJ Mikocheni alikokuwa akitibiwa, yanatarajiwa kufanyika siku ya Ijumaa Julai 25, 2014 kijijini kwake Kirua Vunjo, Moshi, mkoani Kilimanjaro. Kwa mujibu wa ratiba iliyopatikana na Globu ya Jamii, Shughuli za kuaga mwili wa marehemu zitafanyika nyumbani kwake...

 

11 years ago

Michuzi

MAREHEMU SIJAONA SIMON KUZIKWA KESHO MEI 25, 2015 MAKABURI YA KINONDONI, DAR

Familia ya bwana Sijaona Simon wa Dar es Salaam, inasikitika kutangaza kifo cha baba yao mzazi ndugu Simon Malosha kilichotokea siku ya alhamisi tarehe 22/5/2014 saa nane mchana katika hospitali ya TMJ. 

Mazishi yatafanyika jumapili tarehe 25/5/2014 saa tisa mchana katika Makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam. Misa ya kumuaga marehemu na kutoa heshima za mwisho, itafanyika kwa Marehemu Sijaona magorofa ya Urafiki block QA.

Taarifa ziwafikie kaka yake mkubwa William Lukuba wa Nyakato...

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA SULUHU ALITEKA JIMBO LA MOSHI MJINI LEO AGOSTI 25, 2015

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu akihutubia maelfu ya wananchi kwenye mkutano wake wa kampeni aliofanya kwenye Viwanja vya CCM Majengo, jimbo la Moshi mjini mkoani Kilimanjaro, leo Agosti 25, 2015. (Picha na Bashir Nkoromo).Wananachi wakimpongeza mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassani baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni kwenye viwanja vya CCM Majengo jimbo la Moshi mjini Mkoani Kilimanjaro leo, Agosti 25, 2015Sehemu ya wananchi...

 

10 years ago

Vijimambo

MISA YA MAREHEMU MZEE SAMUEL LUANGISA KUFANYIKA JUMAMOSI MAY 30, 2015

MZEE SAMUEL NTAMBALA LUANGISA
Familia ya Marehemu Mzee Luangisa na New York Tanzania Community, inawakaribisha kwenye MISA ya kumuaga Marehemu Mzee wetu, Baba yetu na Kiongozi wetu Mzee Samuel Ntambala Luangisa (83), kabla ya kwenda Bukoba kwa mazishi Siku Jumamosi MAY 30th, 2015kuanzia Saa: 1pm - 5pm
Address: LEE'S Funeral Home L.L.C160 Fisher AvenueWhite Plains, NY 10606
Baada ya Misa sote tutajumuika nyumbani kwa Wafia The Luangisa Residence: 
374 Hawthorne Terrace, Mt. Vernon, NY 10552
Mpe...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aungana na waombolezaji kwenye Msiba wa marehemu Mzee Said Ngamba “Mzee Small” Jijini Dar

16

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Msiba wa msiba wa msanii maarufu wa filamu ya vichekesho hapa nchini,Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam jana Juni 9, 2014.

17

_1

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amejumuika na waombolezaji mbali mbali kwenye Msiba wa msanii maarufu wa filamu za vichekesho nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam jana.Kushoto ni Rais wa Chama cha Filamu nchini,Simon Mwakifwamba na...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAONGOMA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MSIBA WA MAREHEMU MZEE SAID NGAMBA "MZEE SMALL" JIJINI DAR LEO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Msiba wa msiba wa msanii maarufu wa filamu ya vichekesho hapa nchini,Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii maarufu wa filamu vichekesho Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014. Rais Dkt Jakaya Mrisho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani