MAREHEMU SIJAONA SIMON KUZIKWA KESHO MEI 25, 2015 MAKABURI YA KINONDONI, DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-lwx0yL657Lw/U4Bdp0qrbQI/AAAAAAAA61Q/Lyl7I4wG4OA/s72-c/Marehemu+Simon+Malosha.jpg)
Familia ya bwana Sijaona Simon wa Dar es Salaam, inasikitika kutangaza kifo cha baba yao mzazi ndugu Simon Malosha kilichotokea siku ya alhamisi tarehe 22/5/2014 saa nane mchana katika hospitali ya TMJ.
Mazishi yatafanyika jumapili tarehe 25/5/2014 saa tisa mchana katika Makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam. Misa ya kumuaga marehemu na kutoa heshima za mwisho, itafanyika kwa Marehemu Sijaona magorofa ya Urafiki block QA.
Taarifa ziwafikie kaka yake mkubwa William Lukuba wa Nyakato...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLAMIGOLAS KUZIKWA KESHO MAKABURI YA KISUTU, DAR
10 years ago
MichuziJAJI ANTONY BAHATI KUZIKWA LEO MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
10 years ago
Dewji Blog26 Nov
UPDATES ya msiba wa Ndg Sebastina Mgimba: Mwili wa marehemu wawasili nchini leo, maziko kufanyika kesho katika makaburi ya Kinondoni
![IMG_7879](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/IMG_7879.jpg)
11 years ago
Michuzi08 Mar
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-OQExrRc44Ys/VYwRpbnf6fI/AAAAAAAHj94/j4G1Q0vKSG0/s72-c/s.jpg)
RATIBA YA KUAGA RASMI NA MAZISHI YA MAREHEMU DONALD MAX, SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 27 JUNI, 2015 KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE NA MAKABURI YA KINONDONI
![](http://3.bp.blogspot.com/-OQExrRc44Ys/VYwRpbnf6fI/AAAAAAAHj94/j4G1Q0vKSG0/s400/s.jpg)
NA. MUDA TUKIO MHUSIKA MAHALI 1. 12:00 - 02:00 Familia kuandaa Mwili wa Marehemu Familia Nyumbani 2. 02:00 - 04:00 Taratibu za Kimila Familia Nyumbani 3. 04:00 - 05:00 Chai/Chakula Familia Nyumbani 4. 04:00 - 05:00 § Waombolezaji kuwasili katika Viwanja vya Karimjee Katibu wa Bunge Karimjee
§ Viongozi wa Vyama vya Siasa, Waheshimiwa wa Wabunge, Manaibu Waziri, Mawaziri kuwasili na kuketi katika Nafasi zao ...
10 years ago
Dewji Blog12 Nov
Mwili wa marehemu Robert Lengeju waagwa Jijini Dar kuzikwa kesho Kipera Morogoro
Hili ndilo sanuku lililouhifadhi mwili wa Mwandishi/Mchambuzi wa Jukwaa Maalumu la MWALE WA DEMOKRASIA katika Gazeti la Raia Tanzania (Gazeti dada la Raia Mwema), kila Alhamisi. Mwili wa shujaa huyo wa Demokrasia uliswaliwa katika Kanisa Katoliki M<simbazi Jijini Dar es Salaam leo.
Watu mbalimbali walihudhuria katika misa hiyo ya kumsindikiza Lengeju katika safari yake ya mwisho kabla ya maziko yatakayo fanyika kesho (Novemba 13,2014) Kijijini kwako Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali, Wilaya...
10 years ago
Michuzi12 Nov
MWILI WA MAREHEMU ROBERT LENGEJU WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM KUZIKWA KESHO KIPERA MOROGORO.
Watu mbalimbali walihudhuria katika misa hiyo ya kumsindikiza Lengeju katika safari yake ya mwisho kabla ya maziko yatakayo fanyika kesho (Novemba 13,2014) Kijijini kwako Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali,...
11 years ago
CloudsFM29 May
RECHO HAULE KUZIKWA LEO KATIKA MAKABURI YA KINONDONI
Mwili wa aliyekuwa msanii wa filamu za Kibongo,Rachel Haule ambaye alifariki dunia mwanzoni mwa wiki hii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar baada ya kujifungua ambapo mtoto wake alifariki muda mfupi na baadaye yeye akafariki,utaagwa leo katika viwanja vya Leaders kuanzia saa nne asubuhi sanjari na mwili wa mtoto wake na kuzikwa leo katika makaburi ya Kinondoni,