Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RECHO HAULE KUZIKWA LEO KATIKA MAKABURI YA KINONDONI

Mwili wa aliyekuwa msanii wa filamu za Kibongo,Rachel Haule ambaye alifariki dunia mwanzoni mwa wiki hii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar baada ya kujifungua ambapo mtoto wake alifariki muda mfupi na baadaye yeye akafariki,utaagwa leo katika viwanja vya Leaders kuanzia saa nne asubuhi sanjari na mwili wa mtoto wake na kuzikwa leo katika makaburi ya Kinondoni,

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAZISHI YA RECHO HAULE YALIVYOFANYIKA MAKABURI YA KINONDONI DAR

Mwenyekiti wa Bongo Muvi Steven Nyerere akiweka shada la maua katika kaburi. Ndugu wa marehemu wakiweka mashada.…

 

10 years ago

Michuzi

JAJI ANTONY BAHATI KUZIKWA LEO MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR

Mwili wa marehemu ukiwasili nyumbani. Watoto wa marehemu wakiwa na huzuni mara baada ya mwili kuwasili nyumbani.
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa Jaji mstaafu, Antony Bahati nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam. Mazishi ya jaji Bahati yanafanyika leo Juni 2 katika makaburi ya Kinondoni. (Picha na Francis Dande) Baadhi ya waombolezaji.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

MAREHEMU SIJAONA SIMON KUZIKWA KESHO MEI 25, 2015 MAKABURI YA KINONDONI, DAR

Familia ya bwana Sijaona Simon wa Dar es Salaam, inasikitika kutangaza kifo cha baba yao mzazi ndugu Simon Malosha kilichotokea siku ya alhamisi tarehe 22/5/2014 saa nane mchana katika hospitali ya TMJ. 

Mazishi yatafanyika jumapili tarehe 25/5/2014 saa tisa mchana katika Makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam. Misa ya kumuaga marehemu na kutoa heshima za mwisho, itafanyika kwa Marehemu Sijaona magorofa ya Urafiki block QA.

Taarifa ziwafikie kaka yake mkubwa William Lukuba wa Nyakato...

 

10 years ago

Dewji Blog

UPDATES ya msiba wa Ndg Sebastina Mgimba: Mwili wa marehemu wawasili nchini leo, maziko kufanyika kesho katika makaburi ya Kinondoni

IMG_7879  Ndugu pamoja na jamaa wa marehemu Sebastian Mgimba aliyefariki dunia nchini Malaysia wakibeba jeneza lenye mwili wa Marehemu mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dar Es Salaam eneo la Mizigo ukitokea nchini Malaysia. Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Sebastian Mgimba aliyefariki nchini Malaysia likiingizwa katika gari maalumu la kubebea jeneza katika uwanja wa Ndege wa Dar Es Salaam katika eneo la kutolea na kusafirishia mizigo mara baada ya mwili huo kuwasilini Nchini Leo...

 

10 years ago

Mwananchi

YP kuzikwa leo makaburi ya Chang’ombe

Msanii wa kundi la muziki la TMK Wanaume Family, Yesaya Ambikile ‘YP’ amefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Temeke alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu ya kifua.

 

10 years ago

CloudsFM

AMIGOLAS KUZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU, DAR

MAZIKO ya mwanamuziki wa zamani wa Bendi ya African Stars International ‘Twanga Pepeta’, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ aliyefariki usiku wa kuamkia leo yatafanyika leo saa 9 alasiri katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Amigolas amefariki kwa ugonjwa wa moyo akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa siku kadhaa. Mwimbaji huyu ambaye hadi anafariki, alikuwa mtumishi wa bendi ya Ruvu Stars inayomilikiwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).

Amigo alilazwa Muhimbili...

 

10 years ago

GPL

SHEM KARENGA KUZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU, DAR

Marehemu Shem Karenga enzi za uhai wake. MWILI wa mwanamuziki nguli aliyekuwa na umahiri wa kuimba na kucharaza gitaa la Solo, Shem Ibrahim Karenga utazikwa leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam saa 10 alasiri. Mwili wa marehemu utapelekwa katika msikiti wa Manyema, Kariakoo saa 8 mchana kwa ajili ya kuswaliwa! Shem Karenga alifariki dunia jana akiwa katika Hospitali ya Amana  jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

CloudsFM

Mez B kuzikwa leo kwenye makaburi ya Wahanga,Dodoma

ALIYEKUWA memba wa kundi la Chamber Squad, Moses Bushagama ‘Mez B’ ambaye alifariki Ijumaa iliyopita mjini Dodoma anatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya Wahanga yaliopo Maili Mbili mjini Dodoma. Mama Mzazi wa aliyekuwa Msanii wa Kizazi Kipya Marehemu Mez B ameelezea Sababu ya Kifo cha Mez B kwamba ni Ugonjwa wa Pneumonia ambao ulikuwa unamumbua siku nyingi.Katika Taarifa ya Mama Mzazi wa Mez B amesema kuwa Mez B alilazwa na Kuruhusiwa Mara Kadhaa katika Hospitali ya Mwananchi Dodoma na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani