Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEM KARENGA KUZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU, DAR

Marehemu Shem Karenga enzi za uhai wake. MWILI wa mwanamuziki nguli aliyekuwa na umahiri wa kuimba na kucharaza gitaa la Solo, Shem Ibrahim Karenga utazikwa leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam saa 10 alasiri. Mwili wa marehemu utapelekwa katika msikiti wa Manyema, Kariakoo saa 8 mchana kwa ajili ya kuswaliwa! Shem Karenga alifariki dunia jana akiwa katika Hospitali ya Amana  jijini Dar es Salaam...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHEM KARENGA AZIKWA MAKABURI YA KISUTU, DAR

Wananchi wakiusitiri mwili wa marehemu Shem Karenga katika makaburi ya Kisutu, Dar jioni hii. HATIMAYE mwanamuziki nguli nchini aliyekuwa na umahiri wa kuimba na kucharaza gitaa la solo, Shem Ibrahim Karenga azikwa katika makaburi ya Kisutu, Dar jioni hii. Marehemu Karenga alifariki dunia jana katika Hospitali ya Amana, Dar alipokuwa akipatiwa matibabu. Mwenyezi Mungu Ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.… ...

 

10 years ago

Michuzi

Marehemu Shem Ibrahim Kalenga azikwa leo kwenye Makaburi ya Kisutu,jijini Dar

 Jeneza lenye Mwili wa aliewahi kuwa mwanamuziki mkongwe hapa nchini,Marehemu Shem Ibrahim Kalenga ukiwasili kwenye Makaburi ya Kisutu,Jijini Dar es Salaam tayari kwa mazishi.Marehemu Kalenga alifariki Dunia jana katika hospitali ya Amana,Ilala alikokuwa akipatiwa Matibabu.Umati Mkubwa uliojitokeza kwenye mazishi ya Marehemu Shem Ibrahim Kalenga wakijumuika pamoja kubeba Jeneza wakati wa Mazishi yaliyofanyika jioni ya leo kwenye Makaburi ya Kisutu,Jijini Dar es Salaam.
Picha zaidi bofya hapa

 

10 years ago

CloudsFM

AMIGOLAS KUZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU, DAR

MAZIKO ya mwanamuziki wa zamani wa Bendi ya African Stars International ‘Twanga Pepeta’, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ aliyefariki usiku wa kuamkia leo yatafanyika leo saa 9 alasiri katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Amigolas amefariki kwa ugonjwa wa moyo akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa siku kadhaa. Mwimbaji huyu ambaye hadi anafariki, alikuwa mtumishi wa bendi ya Ruvu Stars inayomilikiwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).

Amigo alilazwa Muhimbili...

 

10 years ago

GPL

AMIGOLAS KUZIKWA KESHO MAKABURI YA KISUTU, DAR

Mkurugegenzi wa ASET,  Asha Baraka akiwa msibani. Rogert Hega, 'Katapilla' akiwa msibani. Victor Mkambi akiwa msibani.…

 

10 years ago

GPL

AMIGOLAS AZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU, DAR

Mwili wa marehemu, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’ ukiwasili nyumbani kwao Mburahati leo jijini Dar es Salam. Mjane wa marehemu, Bi Modesta Emmanuel akiwa amezimia msibani.…

 

10 years ago

GPL

MAZISHI YA MZEE EBBY SYKES KUFANYIKA LEO MAKABURI YA KISUTU, DAR

Ebby Sykes enzi za uhai wake. MAZISHI ya mwanamuziki mkongwe nchini ambaye ni baba mzazi wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Dully Sykes, Ebby Sykes yatafanyika leo saa 10 jioni katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Mzee Sykes alifariki dunia jana mchana akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa vidonda miguuni vilivyopelekea kueneza sumu katika mwili wake na...

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES: MSIBA WA MAREHEMU SHEM KARENGA WAHAMISHIWA MTAA WA UFIPA, KINONDONI, DAR ES SALAAM

TAARIFA ZILIZOTUFIKIA SASA HIVI ZINASEMA KWAMBA FAMILIA YA MAREHEMU SHEM KARENGA IMEHAMISHIA MSIBA HUO KINONDONI, MTAA WA UFIPA (JIRANI NA OFISI ZA CHADEMA). 
MIPANGO YA MAZISHI INABAKI PALEPALE YAANI KESHO MAREHEMU ATASWALIWA KATIKA MSIKITI WA MANYEMA, KARIAKOO, BAADA YA SWALA YA ALASIRI NA KISHA KUELEKEA MAKABURI YA KISUTU KWA MAZISHI>

 

10 years ago

Michuzi

JAJI ANTONY BAHATI KUZIKWA LEO MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR

Mwili wa marehemu ukiwasili nyumbani. Watoto wa marehemu wakiwa na huzuni mara baada ya mwili kuwasili nyumbani.
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa Jaji mstaafu, Antony Bahati nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam. Mazishi ya jaji Bahati yanafanyika leo Juni 2 katika makaburi ya Kinondoni. (Picha na Francis Dande) Baadhi ya waombolezaji.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani