MAZISHI YA MZEE EBBY SYKES KUFANYIKA LEO MAKABURI YA KISUTU, DAR
![](http://api.ning.com:80/files/qB*eEYpVu7MS26RpOm5rSCG*7NiH3RjVXzWsGAinE--MknRgcQhkMQ8r9tONe5Fl8-fguB7BQ903wDzN9rRCwXl5x6i08XUW/mzeesykes.jpg?width=650)
Ebby Sykes enzi za uhai wake. MAZISHI ya mwanamuziki mkongwe nchini ambaye ni baba mzazi wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Dully Sykes, Ebby Sykes yatafanyika leo saa 10 jioni katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Mzee Sykes alifariki dunia jana mchana akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa vidonda miguuni vilivyopelekea kueneza sumu katika mwili wake na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM17 Feb
10 years ago
CloudsFM16 Feb
Hiki ndicho kilichomuua baba yake Dully Sykes,Mzee Ebby Sykes
Marehemu Mzee Abby Sykes ambaye ni Baba mzazi wa mwimbaji wa Bongo Fleva Prince Dullysykes, alifariki saa 8 mchana February 15 2015 akiwa hospitali ya taifa Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Dullysykes ameongea na millardayo.com ikiwa ni pamoja na kuelezea kitu kilichosababisha umauti wa baba yake ambapo ameanza kwa kusema >>’Mzee alikua ana vidonda katika miguu na ndiyo chanzo kikubwa, sumu ikasambaa ikasababisha kifo chake, vidonda vilishindwa kupona kwa ajili ya moshi wa sigara...
10 years ago
GPLMAMIA WAMZIKA BABA MZAZI WA DULLY SYKES MAKABURI YA KISUTU, DAR
10 years ago
MichuziBABA YAKE DULLY SYKES AZIKWA JIONI HII KWENYE MAKABURI YA KISUTU,JIJINI DAR
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
Mazishi ya Dk.Emmanuel Makaidi kufanyika makaburi ya Sinza, mwili wake kuagwa leo asubuhi Viwanja vya Karimjee jijini Dar
Mjane wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Dk. Emmanuel Makaidi, Modesta Ponela Makaidi akiwa katika huzuni baada ya kuondokewa na mpendwa wake.
Mtoto wa kwanza wa Dk. Makaidi, Hilda Emmanuel Makaidi akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).
Mtoto wa marehemu Mhandisi Emmanueli Makaidi (kulia), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ratiba ya mazishi ya baba yake.
Ndugu, jamaa, marafiki na waombolezaji wakiwa msibani nyumbani kwa Dk.Makaidi...
10 years ago
Dewji Blog15 Feb
Mzee Ebby Sykes afariki dunia
Baba mzazi wa msanii mkongwe wa muziki nchini, Dully Sykes, Mzee Ebby Sykes amefariki (pichani) dunia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Kwa mujibu wa binti yake Raya Sykes amethibitisha taarifa hizo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram.
Raya katika ukurasa wake huo aliandika ‘Mungu akulaze mahala pema peponi baba angu mimi nilikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi….nasikitika nipo mbali sitaweza kukuzika. Ulikuwa ni mtu mwenye upendo na kila mtu alikupenda, nakupenda sana baba...
10 years ago
Michuzi17 Dec
10 years ago
CloudsFM10 Nov
AMIGOLAS KUZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU, DAR
Amigolas amefariki kwa ugonjwa wa moyo akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa siku kadhaa. Mwimbaji huyu ambaye hadi anafariki, alikuwa mtumishi wa bendi ya Ruvu Stars inayomilikiwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
Amigo alilazwa Muhimbili...
10 years ago
GPLAMIGOLAS AZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU, DAR