YP kuzikwa leo makaburi ya Chang’ombe
Msanii wa kundi la muziki la TMK Wanaume Family, Yesaya Ambikile ‘YP’ amefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Temeke alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu ya kifua.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo521 Oct
YP kuagwa TCC Chang’ombe na kuzikwa kesho (Oct 22) katika makaburi ya Chang’ombe
10 years ago
CloudsFM22 Oct
YP KUZIKWA LEO SAA KUMI JIONI MAKABURI YA CHANG’OMBE
Aliyekuwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, YP ambaye amefariki usiku wa juzi katika hospitali ya Temeke wakati alipokuwa akitibiwa maradhi ya kifua kikuu (TB) anatarajiwa kuzikwa leo saa kumi katika makaburi ya Chang’ombe jijini Dar es Salaam.
Mkubwa Fella akiwa msibani
Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, YP ambaye jina lake halisi ni Yessaya Ambilikile ameugua kwa kipindi cha takribani miezi miwili kabla ya kufikwa na umauti hapo juzi.
10 years ago
CloudsFM23 Oct
10 years ago
GPLMSANII WA TMK WANAUME FAMILY, YP AZIKWA MAKABURI YA CHANG'OMBE DAR
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mWq-Pv8RWzQleMpK13Xzrfq*lMbv1YX*LgqFxG5bAFZhRhL65mb9tF3m6dP6fbkX0O5FTPSw0KsFQTTyF5srnrpo6kfCw1AB/grumo.jpg?width=650)
MACHO YOTE LEO NI GURUMO 53 TCC CLUB CHANG’OMBE
10 years ago
CloudsFM10 Nov
AMIGOLAS KUZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU, DAR
Amigolas amefariki kwa ugonjwa wa moyo akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa siku kadhaa. Mwimbaji huyu ambaye hadi anafariki, alikuwa mtumishi wa bendi ya Ruvu Stars inayomilikiwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
Amigo alilazwa Muhimbili...
10 years ago
CloudsFM23 Feb
Mez B kuzikwa leo kwenye makaburi ya Wahanga,Dodoma
ALIYEKUWA memba wa kundi la Chamber Squad, Moses Bushagama ‘Mez B’ ambaye alifariki Ijumaa iliyopita mjini Dodoma anatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya Wahanga yaliopo Maili Mbili mjini Dodoma.
Mama Mzazi wa aliyekuwa Msanii wa Kizazi Kipya Marehemu Mez B ameelezea Sababu ya Kifo cha Mez B kwamba ni Ugonjwa wa Pneumonia ambao ulikuwa unamumbua siku nyingi.
Katika Taarifa ya Mama Mzazi wa Mez B amesema kuwa Mez B alilazwa na Kuruhusiwa Mara Kadhaa katika Hospitali ya Mwananchi Dodoma na...
11 years ago
CloudsFM29 May
RECHO HAULE KUZIKWA LEO KATIKA MAKABURI YA KINONDONI
Mwili wa aliyekuwa msanii wa filamu za Kibongo,Rachel Haule ambaye alifariki dunia mwanzoni mwa wiki hii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar baada ya kujifungua ambapo mtoto wake alifariki muda mfupi na baadaye yeye akafariki,utaagwa leo katika viwanja vya Leaders kuanzia saa nne asubuhi sanjari na mwili wa mtoto wake na kuzikwa leo katika makaburi ya Kinondoni,
10 years ago
GPLSHEM KARENGA KUZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU, DAR