YP KUZIKWA LEO SAA KUMI JIONI MAKABURI YA CHANG’OMBE
Aliyekuwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, YP ambaye amefariki usiku wa juzi katika hospitali ya Temeke wakati alipokuwa akitibiwa maradhi ya kifua kikuu (TB) anatarajiwa kuzikwa leo saa kumi katika makaburi ya Chang’ombe jijini Dar es Salaam.
Mkubwa Fella akiwa msibani
Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, YP ambaye jina lake halisi ni Yessaya Ambilikile ameugua kwa kipindi cha takribani miezi miwili kabla ya kufikwa na umauti hapo juzi.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo521 Oct
YP kuagwa TCC Chang’ombe na kuzikwa kesho (Oct 22) katika makaburi ya Chang’ombe
Msanii wa kundi la Wanaume Family YP aliyefariki usiku wa kuamkia leo kwa ugonjwa wa kifua, anatarajiwa kuagwa kesho (October 22) kwenye viwanja vya TCC Chang’ombe na baada ya hapo atazikwa katika makaburi ya Chang’ombe karibu na maduka mawili. Akizungumza ba BONGO 5 jioni hii, kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family amesema mpaka sasa […]
10 years ago
Mwananchi22 Oct
YP kuzikwa leo makaburi ya Chang’ombe
Msanii wa kundi la muziki la TMK Wanaume Family, Yesaya Ambikile ‘YP’ amefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Temeke alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu ya kifua.
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-_VRPZ16Qxow/VgoFr0uvMKI/AAAAAAAAAxY/1m2r3_ksmYU/s72-c/IYK-Flier-Oct-04.png)
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-el9oHk7lkaU/Vh01EOKFsmI/AAAAAAAAAxw/lotIlT2hZmU/s72-c/ibadaOct18-1.png)
Karibuni Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio - Maombezi Maalum ya Uchaguzi Mkuu wa Uraisi Tanzania: Muda Kuanzia Saa Kumi Kamili hadi Saa Kumi na Mbili Jioni (4:00pm - 6:00pm EST)
![](http://4.bp.blogspot.com/-el9oHk7lkaU/Vh01EOKFsmI/AAAAAAAAAxw/lotIlT2hZmU/s640/ibadaOct18-1.png)
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-el9oHk7lkaU/Vh01EOKFsmI/AAAAAAAAAxw/lotIlT2hZmU/s72-c/ibadaOct18-1.png)
Karibuni Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio - Maombezi Maalum ya Uchaguzi Mkuu wa Uraisi Tanzania: Muda Kuanzia Saa Kumi Kamili hadi Saa Kumi na Mbili Jioni (4:00pm - 6:00pm EST)
![](http://4.bp.blogspot.com/-el9oHk7lkaU/Vh01EOKFsmI/AAAAAAAAAxw/lotIlT2hZmU/s640/ibadaOct18-1.png)
Karibu tembelea tovuti yetu :- www.iykcolumbus.orgMungu Ibariki Tanzania! Mungu Ibariki Afrika!
10 years ago
CloudsFM23 Oct
10 years ago
GPLMSANII WA TMK WANAUME FAMILY, YP AZIKWA MAKABURI YA CHANG'OMBE DAR
Wasanii wa Bongo Fleva wakiuaga mwili wa marehemu Yesaya Ambikile 'YP' katika Viwanja vya TCC Chang'ombe, Dar es Salaam. Waombolezaji wakiwa katika msiba wa msanii wa Bongo Fleva, Yesaya Ambikile 'YP' kwenye Viwanj vya TCC, Chang'ombe, Dar.…
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-h6wXoWdJFeY/VNK3kNNARvI/AAAAAAAAAmo/bKmbjKPVTzU/s72-c/IYK_Valentine.png)
Karibuni Semina na Chakula cha Jioni — Valentine Day Februari 14, 2015 Kuanzia saa kumi na mbili jioni 6:00pm EST
![](http://4.bp.blogspot.com/-h6wXoWdJFeY/VNK3kNNARvI/AAAAAAAAAmo/bKmbjKPVTzU/s1600/IYK_Valentine.png)
10 years ago
Vijimambo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania