Iraq yaitaka Uturuki iondoe majeshi Mosul
Serikali ya Iraq imeiamuru Uturuki iondoe wanajeshi wake katika eneo la mpakani karibu na mji wa Mosul ambalo linadhibitiwa na wapiganaji wa Islamic State.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili14 Dec
Uturuki yaanza kuondoa majeshi Iraq
Uturuki imeanza kuondoa baadhi ya wanajeshi wake waliokuwa wameingia Iraq, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali.
11 years ago
BBCSwahili11 Jun
Mamilioni waukimbia mji wa Mosul Iraq
Takriban watu nusu milioni wanaripotiwa kuukimbia mji wa Mosul, nchini Iraq, ambao sasa unadhibitiwa na wapiganaji wa madhehebu ya Sunni.
10 years ago
BBCSwahili11 Mar
Majeshi ya Iraq yakomboa Tikrit
Maofisa wa serikali nchini Iraqi wamesema kwamba majeshi ya serikali yanayoungwa mkono na majeshia ya Shia yamefanikiwa kuyakomboa baadhi ya maeneo ya mji wa Tikrit kutoka katika himaya ya wanamgambo wa dola ya kiislam Islamic State .
11 years ago
BBCSwahili17 Jun
Marekani kutuma majeshi Iraq
Marekani imetangaza kuwa inatuma wanajeshi 275 nchini Iraq kusaidia kulinda maafisa na Ubalozi wake mjini Bagdad.
11 years ago
BBCSwahili13 Jun
Majeshi ya Marekani kwenda Iraq tena?
Rais Barack Obama kuisaidia Iraq kukabiliana na wanamgambo wa kiislam wanaodhibiti eneo kubwa la kaskazini mwa Iraq .
10 years ago
BBCSwahili02 Mar
Majeshi ya Iraq mbioni kuikomboa Tikrit
Serikali ya Iraq inasema kuwa wanajeshi wake wameanza kampeini ya kuwafurusha wapiganaji wa Islamic State kutoka mji wa Tikrit
10 years ago
BBCSwahili19 Aug
Rais Obama asifu majeshi ya Iraq na kurd
Rais wa Marekani Barack Obama ameahidi kuendelea kuyaunga mkono majeshi ya Iraq na kikurd
11 years ago
KwanzaJamii11 Jun
MAMILIONI WAUKIMBIA MJI WA MOSUL
Mamilioni wanakimbilia usalama wao katika maeneo salama
Takriban watu nusu milioni wanaripotiwa kuukimbia mji wa Mosul, nchini Iraq, ambao sasa unadhibitiwa na wapiganaji wa madhehebu ya Sunni.
Wapiganaji wa kiislamu nchini humo wanaendelea na makabiliano yao ya kulidhibiti taifa hilo, hatua ambayo Marekani inaelezea kuwa ni hatari kubwa katika eneo hilo.
ISIS, ni mojawepo ya kundi lililomeguka kutoka kwa mtandao wa Al Qaeda ambalo linadhibiti eneo kubwa la mashariki mwa Syria, magharibi na...
10 years ago
BBCSwahili09 Jun
ISIS waweka mitego kulinda mji wa Mosul
Kundi la wanamgambo wa Islamic State limeunda mitego ardhini kuulinda mji huo kutoka kwa majeshi ya serikali
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania