Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uturuki yaanza kuondoa majeshi Iraq

Uturuki imeanza kuondoa baadhi ya wanajeshi wake waliokuwa wameingia Iraq, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Iraq yaitaka Uturuki iondoe majeshi Mosul

Serikali ya Iraq imeiamuru Uturuki iondoe wanajeshi wake katika eneo la mpakani karibu na mji wa Mosul ambalo linadhibitiwa na wapiganaji wa Islamic State.

 

10 years ago

BBCSwahili

Majeshi ya Iraq yakomboa Tikrit

Maofisa wa serikali nchini Iraqi wamesema kwamba majeshi ya serikali yanayoungwa mkono na majeshia ya Shia yamefanikiwa kuyakomboa baadhi ya maeneo ya mji wa Tikrit kutoka katika himaya ya wanamgambo wa dola ya kiislam Islamic State .

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani kutuma majeshi Iraq

Marekani imetangaza kuwa inatuma wanajeshi 275 nchini Iraq kusaidia kulinda maafisa na Ubalozi wake mjini Bagdad.

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama Kuondoa majeshi yake Afghanistan

Obama ameagiza Pentagon kuandaa mipango ya kuwaondoa wanajeshi wake wote kutoka Afghanistan ifikapo mwisho wa mwaka huu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Majeshi ya Marekani kwenda Iraq tena?

Rais Barack Obama kuisaidia Iraq kukabiliana na wanamgambo wa kiislam wanaodhibiti eneo kubwa la kaskazini mwa Iraq .

 

10 years ago

BBCSwahili

Majeshi ya Iraq mbioni kuikomboa Tikrit

Serikali ya Iraq inasema kuwa wanajeshi wake wameanza kampeini ya kuwafurusha wapiganaji wa Islamic State kutoka mji wa Tikrit

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Obama asifu majeshi ya Iraq na kurd

Rais wa Marekani Barack Obama ameahidi kuendelea kuyaunga mkono majeshi ya Iraq na kikurd

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani yaanza kuisaidia Iraq vitani

Marekani imesema kuwa kundi la kwanza la wanajeshi wake waliotumwa kulisaidia jeshi la Iraq limeanza kazi

 

10 years ago

Dewji Blog

Manispaa ya Kinondoni yaanza kuondoa maji kwenye makazi ya watu

image

Mkuu wa mkoa wa Dar es slaam, Saidi Meck Sadiki(katikati) akiangalia athari ya maji yaliyotokana na mvua kubwa zilizonyesha hivi karibuni jijini Dar es slaam akiwa ameambatana na wakazi wa eneo hilo la Kunduchi Ununio.Manispaa ya Kinondoni kwa kushirikiana na DAWASA inaendelea na zoezi la kuyaondoa maji hayo pamoja na ujenzi wa mfereji mkubwa kuelekea baharini utakaokusanya maji kutoka Bunju na Kunduchi na kuyapeleka bahari ya Hindi.

Na Aron Msigwa- MAELEZO

Manispaa ya Kinondoni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani