Marekani yaanza kuisaidia Iraq vitani
Marekani imesema kuwa kundi la kwanza la wanajeshi wake waliotumwa kulisaidia jeshi la Iraq limeanza kazi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili13 Sep
Nchi 10 za kiarabu kuisaidia Marekani
John Kerry apinga ripoti kwamba mataifa ya kiarabu hayaungi mkono juhudi zake za kubuni muungano wa kukabiliana na kundi la IS.
10 years ago
BBCSwahili12 Sep
Warabu kuisaidia Marekani dhidi ya ISIL
Nchi 10 za kiarabu zimekubaliana kuisaidia Marekani kupambana na Islamic State.
9 years ago
BBCSwahili14 Dec
Uturuki yaanza kuondoa majeshi Iraq
Uturuki imeanza kuondoa baadhi ya wanajeshi wake waliokuwa wameingia Iraq, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali.
9 years ago
Raia Mwema23 Dec
Marekani: Tukichelewa, Burundi itaingia vitani
HIVI karibuni, Ezekiel Kamwaga, Mhariri wa Gazeti hili la Raia Mwema alifanya mahojiano na Mwakil
Mwandishi Wetu
9 years ago
BBCSwahili03 Dec
Wanawake Marekani sasa kwenda vitani
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Ash Carter ametangaza kuwa nafasi zote za kazi za kijeshi za kivita sasa zitakuwa wazi pia kwa wanawake wa Marekani.
11 years ago
BBCSwahili11 Aug
Marekani kendelea kuishambulia Iraq
Marekani imeendeleza mashambulizi ya anga kaskazini mwa Iraq kwa lengo la kuwasaidia Wakrud katika mji wa Erbil dhidi ya wapiganaji wa kiislam wa kundi Jihad.
11 years ago
BBCSwahili17 Jun
Marekani kutuma majeshi Iraq
Marekani imetangaza kuwa inatuma wanajeshi 275 nchini Iraq kusaidia kulinda maafisa na Ubalozi wake mjini Bagdad.
11 years ago
BBCSwahili09 Aug
Iraq:Marekani yawashambulia wanamgambo
Wizara ya ulinzi nchini Marekani imesema kuwa inaendelea kuwashambulia wanamgambo wa taifa la kiislamu kazkazini mwa Iraq.
11 years ago
BBCSwahili10 Aug
Marekani yaendeleza mashambulizi Iraq
Marekani imesema kuwa imetekeleza mashambulizi zaidi kazkazini mwa Iraq dhidi ya maeneo yanayodhibitiwa na wapiganaji wa Jihad.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania