Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMILIONI WAUKIMBIA MJI WA MOSUL

Mamilioni wanakimbilia usalama wao katika maeneo salama Takriban watu nusu milioni wanaripotiwa kuukimbia mji wa Mosul, nchini Iraq, ambao sasa unadhibitiwa na wapiganaji wa madhehebu ya Sunni. Wapiganaji wa kiislamu nchini humo wanaendelea na makabiliano yao ya kulidhibiti taifa hilo, hatua ambayo Marekani inaelezea kuwa ni hatari kubwa katika eneo hilo. ISIS, ni mojawepo ya kundi lililomeguka kutoka kwa mtandao wa Al Qaeda ambalo linadhibiti eneo kubwa la mashariki mwa Syria, magharibi na...

KwanzaJamii

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mamilioni waukimbia mji wa Mosul Iraq

Takriban watu nusu milioni wanaripotiwa kuukimbia mji wa Mosul, nchini Iraq, ambao sasa unadhibitiwa na wapiganaji wa madhehebu ya Sunni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 40,000 waukimbia mji wa Ramadi

Mratibu wa huduma za Umoja wa mataifa nchini Iraq amesema kuwa huenda takriban watu 40,000 wameukimbia mji wa Ramadi

 

10 years ago

BBCSwahili

ISIS waweka mitego kulinda mji wa Mosul

Kundi la wanamgambo wa Islamic State limeunda mitego ardhini kuulinda mji huo kutoka kwa majeshi ya serikali

 

9 years ago

BBCSwahili

Iraq yaitaka Uturuki iondoe majeshi Mosul

Serikali ya Iraq imeiamuru Uturuki iondoe wanajeshi wake katika eneo la mpakani karibu na mji wa Mosul ambalo linadhibitiwa na wapiganaji wa Islamic State.

 

10 years ago

CloudsFM

TASWIRA YA MJI WA KAHAMA LEO WAKAZI WA MJI HUO WAJIANDAA NA FIESTA

Taswira ya mji wa Kahama leo hii,wakazi wa mji huo wajiandaa na tamasha la #Serengetifiesta2014 Jumapili hii pande za Kahama Stadium kwa mtonyo wa buku tano tu.#Nisheedah.

 

10 years ago

Mwananchi

Ngula kulipwa mamilioni

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania, (Tucta) limetakiwa kumlipa Sh78 milioni aliyekuwa Katibu wa shirikisho hilo , Nestory Ngula, baada ya kuwashinda katika rufaa waliyoikata dhidi yake mwaka jana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mamilioni waandamana Brazil

Mamilioni ya wananchi wa Brazil wameandamana kupinga utawala wa Rais Dilma Roussef

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mzumbe yasamehewa mamilioni


NA SOLOMON MWANSELE,MBEYA
BARAZA la Madiwani wa Jiji la Mbeya limeridhia kusamehe deni la zaidi ya sh. bilioni 1.3 kwa Chuo Kikuu cha Mzumbe.
Chuo hicho kilikuwa kinadaiwa kiasi hicho kutokana na kuuziwa kiwanja namba 8 kilichoko katika kitalu G eneo la Iwambi, ambapo kilikuwa kimelipa sh.1,070,000,000 kati ya sh. 2, 417,700,000 kilizokuwa kinadaiwa na jiji hilo.
Hayo yalifikiwa juzi, ambapo wajumbe wote walikubali kusamehe deni hilo ili uwe mchango wa halmashauri katika kusaidia kuinua sekta...

 

10 years ago

GPL

SIMBA KULIPWA MAMILIONI

Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limeiagiza Etoile du Sahel kulipa kitita cha dola 300,000 (zaidi ya milioni 500) pamoja na faini. Fifa imeitaka klabu hiyo ya Sousse nchini Tunisia kuhakikisha inalipa fedha hizo ndani ya mwezi mmoja pamoja na faini ya dola 28,000. Hatua hiyo imefikia baada ya Simba kushinda kesi iliyotokana na Simba kushitaki kwa Fifa baada ya Etoile kushindwa kulipa fedha za malipo ya kumnunua Emmanuel Okwi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani