Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA YA MJI WA KAHAMA LEO WAKAZI WA MJI HUO WAJIANDAA NA FIESTA

Taswira ya mji wa Kahama leo hii,wakazi wa mji huo wajiandaa na tamasha la #Serengetifiesta2014 Jumapili hii pande za Kahama Stadium kwa mtonyo wa buku tano tu.#Nisheedah.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA FIESTA 2014 LILIVYOSAMBAZA UPENDO KWA WAKAZI WA MJI WA MOSHI MWISHONI MWA WIKI

 Mmoja wa mashabiki wa tamasha la Fiesta 2014 pichani akitazama kwa makini yaliyokuwa yakijiri kwenye jukwaa la tamasha hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki mjini Moshi. Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akiimba kwa hisia jukwaani. Mashabikii wakishangilia jambo wakati wasanii mbalimbali wa tamasha la Fiesta 2014 wakiendelea kutumbuiza jukwaani. Mwanadada Feza Kessy akiimba jukwaani wakati wa tamasha la Fiesta 2014 lililofanyka mwishoni mwa wiki katika viwanja vya...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA MJI WA BUKOBA KAMA UONEKANAVYO PICHANI JIONI YA LEO.

 Sehemu ya Mandhari ya mji wa Bukoba kama uonekanavyo pichani,mbele yake ni moja ya kisiwa kiitwacho Misira.
 kwa mbaaali  ni muonekano wa ziwa victoria  Sehemu ya mji wa Bukoba kama uonekanavyo pichani Sehemu ya katikati ya mji wa Bukoba kama uonekanavyo jioni ya leo.  PICHA NA MICHUZI JR-BUKOBA.

 

10 years ago

Michuzi

MAGUFULI AZOA WANACHAMA WAPYA ALIPOKUWA AKIWASHUKURU NA KUWAAGA WAKAZI WA MJI MDOGO WA MUGANZA WILAYANI CHATO LEO

   Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM,jioni hii katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza,wilayni Chato Mkoani Geita,Mh Magufuli amezoa wanachama wapya waliorudisha kadi zao wapatao zaidi ya 150.  Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM,jioni hii katika viwanja vya mji mdogo...

 

11 years ago

Michuzi

kili music tour yatikisa mji wa kahama

 Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ay akiwapa burudani ya aina yake wakazi wa mji wa Kahama wakati wa Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.  Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, MwanaFA akiwachezesha bila kukunja goti wakazi wa mji wa Kahama wakati wa Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi . Tamasha hili...

 

11 years ago

Michuzi

Uzinduzi wa Matangazo ya Televisheni ya Dijitali kwenye Manispaa ya Mji wa Kahama

Muonekano wa mtambo wa kurusha matangazo ya televisheni ya Dijitali uliosimikwa ardhini kwenye mlima wa Igalilimi uliopo mji wa Kahama. Kampeni ya Elimu kwa Umma kwa wakazi wa mji wa Kahama imefanyika na kukamilika kwa kufanya uzinduzi rasmi wa matangazo mwishoni mwa Mwezi Mei, 2014. Picha na taarifa na Prisca Ulomi, Msemaji wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia

 

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI AUTEKA MJI WA KAHAMA, AAHIDI KUSHUGHULIKIA MIGOGORO YA MADEREVA




Maelfu ya Wakazi wa Mji wa Kahama na Vitongoji vyake wakimsikiliza  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akimwaga sera zake na kujinadi kwa kuwaomba wampigie kura ya ndio asubuhi na mapema Oktoba 25 mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu,ili aibuke mshindi na kupata ridhaa ya kuwaongoza Watanzania katika awamu ya tano.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AUTEKA MJI WA KAHAMA,AAHIDI KUSHUGHULIKIA MIGOGORO YA MADEREVA

Maelfu ya Wakazi wa Mji wa Kahama na Vitongoji vyake wakimsikiliza  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akimwaga sera zake na kujinadi kwa kuwaomba wampigie kura ya ndio asubuhi na mapema Oktoba 25 mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu,ili aibuke mshindi na kupata ridhaa ya kuwaongoza Watanzania katika awamu ya tano.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli...

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA KATA NA MITAA WA MANISPAA YA DODOMA WAPIGWA MSASA JUU YA USIMAMIZI UENDELEZAJI WA MJI HUO

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akifungua warsha ya uelimishaji juu ya usimamizi uendelezaji wa mji wa Dodoma kwa viongozi wa kata na mitaa wa Manispaa ya Dodoma iliyofanyika leo kwenye hoteli ya Morena Mjini Dodoma. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA Ndg. Paskasi Muragili akitoa maelezo ya ufafanuzi juu ya warsha ya uelimishaji juu ya usimamizi uendelezaji wa mji wa Dodoma kwa viongozi wa kata na mitaa wa Manispaa ya Dodoma iliyofanyika leo kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani