MAGUFULI AUTEKA MJI WA KAHAMA,AAHIDI KUSHUGHULIKIA MIGOGORO YA MADEREVA
Maelfu ya Wakazi wa Mji wa Kahama na Vitongoji vyake wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akimwaga sera zake na kujinadi kwa kuwaomba wampigie kura ya ndio asubuhi na mapema Oktoba 25 mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu,ili aibuke mshindi na kupata ridhaa ya kuwaongoza Watanzania katika awamu ya tano.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMAGUFULI AUTEKA MJI WA KAHAMA, AAHIDI KUSHUGHULIKIA MIGOGORO YA MADEREVA
Maelfu ya Wakazi wa Mji wa Kahama na Vitongoji vyake wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akimwaga sera zake na kujinadi kwa kuwaomba wampigie kura ya ndio asubuhi na mapema Oktoba 25 mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu,ili aibuke mshindi na kupata ridhaa ya kuwaongoza Watanzania katika awamu ya tano.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli...
9 years ago
MichuziDKT John Pombe Joseph Magufuli auteka mji wa kahama keo
9 years ago
MichuziMAGUFULI APIGWA NA BUTWAA NYOMI LA GEITA, AAHIDI KUSHUGHULIKIA MATATIZO YA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI
Mgombea Urais Huyo amewaambia wananchi wa Geita kuwa mara atakapoingia Ikulu, moja ya changamoto anazotarajiwa kuzipa kipaumbele ni pamoja na suala la kutatua mgogoro wa wachimbaji madini wadogo wadogo.
Magufuli ameasema...
10 years ago
GPLMWIGULU NCHEMBA AUTEKA MJI WA GEITA
10 years ago
Michuzi06 Dec
COMRADE MWIGULU NCHEMBA AUTEKA MJI WA GEITA
10 years ago
CloudsFM14 Aug
TASWIRA YA MJI WA KAHAMA LEO WAKAZI WA MJI HUO WAJIANDAA NA FIESTA
Taswira ya mji wa Kahama leo hii,wakazi wa mji huo wajiandaa na tamasha la #Serengetifiesta2014 Jumapili hii pande za Kahama Stadium kwa mtonyo wa buku tano tu.#Nisheedah.
9 years ago
VijimamboJANET AAHIDI KUSHUGHULIKIA KERO YA BARABARA KATA YA NGULILO
Vikundi vya ngoma aina ya Mang;oma vikitoa burudani ya kucheza katika mkutano huoMgombea Ubunge wa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Janet Mbene akiwahutubia wakazi wa kata ya Ngulilo na kuahahidi kushughulikia tatizo la barabara
10 years ago
Michuzi08 Aug
11 years ago
Michuzikili music tour yatikisa mji wa kahama