Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA ZA MJI WA BUKOBA KAMA UONEKANAVYO PICHANI JIONI YA LEO.

 Sehemu ya Mandhari ya mji wa Bukoba kama uonekanavyo pichani,mbele yake ni moja ya kisiwa kiitwacho Misira.
 kwa mbaaali  ni muonekano wa ziwa victoria  Sehemu ya mji wa Bukoba kama uonekanavyo pichani Sehemu ya katikati ya mji wa Bukoba kama uonekanavyo jioni ya leo.  PICHA NA MICHUZI JR-BUKOBA.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

TASWIRA YA MJI WA KAHAMA LEO WAKAZI WA MJI HUO WAJIANDAA NA FIESTA

Taswira ya mji wa Kahama leo hii,wakazi wa mji huo wajiandaa na tamasha la #Serengetifiesta2014 Jumapili hii pande za Kahama Stadium kwa mtonyo wa buku tano tu.#Nisheedah.

 

9 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO MAGUFULI ALIVYOUTIKISA MJI WA MOROGORO JIONI YA LEO,JK ASEMA MAGUFULI NDIO JIBU SAHIHI AWAMU YA TANO.

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Kikwete na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiwapungia mikono wananchi huku wakiwa wameshika kofia zao.  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisistiza jambo katika mkutano huo. Wananchi wakiwa wamefurika kwenye uwanja wa Jamhuti mjini Morogoro kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,ambapo Dkt Magufui aliwahutubia wananchi hao sambamba na kuzinadi sera zake ...

 

5 years ago

Michuzi

KUJIKINGA NA CORONA PICHANI LEO MABIBO,JIJINI DAR

 Moja ya Kituo Cha bodaboda Cha mabibo wakiwa na kitakasa mikono kwa ajili ya abiria na wenyewe wanapopakia wateja kuwafikisha sehemu mbalimbali ikiwa ni agizo la serikali kuzingatia tahadhari ya ugonjwa wa Virusi vya Corona Kama walivyokutwa na kamera ya Michuzi Tv . Wananchi wamekuwa wakichukua maagizo ya serikali katika kujikinga na ugonjwa huo.

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA TIGO LAFANA BUKOBA LEO! WASANII WA ORIGINAL COMEDY WAFUNIKA MJINI BUKOBA!

Mpoki(kulia) akitamba!!Wasanii wa Original Comedy wakiwapa buradani wananchi waliohudhuria Tamasha hilo katika uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini leo Jumapili Novemba 9, 2014. Nani zaidi??Mwana-FA akiimba mbele ya umati wa wakazi wa Bukoba leo kwenye Tamasha la Tigo lililofanyika leo Jumapili jioni kwenye Uwanja wa Kaitaba.Kiingilio ilikuwa ni wewe kuvaa uhusika wa Tigo!!Mwana-FAKwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

9 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali pichani wakati wa Mkutano wa ufunguzi wa kampeni za CCM Jangwani leo

IMG_0256Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na Makamu wake, Gharib Bilal (Kushoto) katikati ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein.

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, John Pombe Magufuli akiwasalimia Wana-CCM waliofika viwanjani hapo.

Katibu wa Itikiadi na Uenezi, Nape Nnauye akiamsha shamrashamra.

Malkia wa Taarab, Khadija Kopa akitumbuiza sambamba na bendi ya TOT.

Wasanii wa Bongo Muvi, Wema Sepetu na Batuli wakiingia...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA KUTOKA JIJINI CHICAGO JIONI HII

Hivi ndivyo hali ya hewa ilivyo huko jijini Chicago nchini Marekani kwa sasa. Picha na Mdau Emma wa GPL kutoka Chicago kupitia Global Whatsapp 0753 715 779.

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA YA DARAJA LA MANZESE JIJINI DAR WAKATI WA JIONI

Wakazi wengi wa maeneo mbali mbali ya jiji la Dar wakiwa wamepozi huku wengine wakipiga soga juu ya Daraja la kuvukia watembea kwa miguu Manzese,Eneo hili limekuwa likipendwa sana na watu hao hasa katika nyakati za sikukuu au mapumziko ya mwisho wa wiki kama walivyonaswa na Mwanalibeneke Othman Michuzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani